kuna siku niliota nafanya jazi ya nyumba.....and here am I in someone's house working as a house manager
2026-07-20 12:51:06
1
Jessy Candy berry :
Hii ni kweli✍🏻 Nimewahi kuota nimepoteza kazi nikapoteza kweli. Nimewahi kuota kuhusu mahusiano na Kesho yake tukaachana kweli🙌🏾 Asante Mtumishi nilikuwa najiuliza ni nini hii Kwanini inatokea Leo ndio nimejua🙏🏼 Mungu akubariki Mtumishi🙏🏼
2026-07-20 13:26:22
1
boss lady :
aaai kutuambia tumeisha badala ya utu encourage tuombe zaidi aaaish
2026-07-20 13:14:23
3
Fadhila Mussa :
na pia nimeota nafukuzwa kazi,naota nipo uchi,naota nafukuzwa uchi naota walio kufa Yani kiujumla nimechoka naota pia nipo shule.
2026-07-20 14:48:27
0
Daughter of the most high :
na Mimi mwenye naota na HIV, nifanyie nini, nko na vita za kiroho na mwanaume mwenye alitaka kuniingiza kwa ufalme wa Giza akasema ataniua, tangu Hilo tukio naota na cancer, ukimwi, na ninagojeka nipoziota
2026-07-20 14:22:53
0
aminamumo455 :
true
2026-07-21 02:14:38
0
Merciline Naliaka :
my God
2026-07-20 11:14:29
1
Irene Arimba :
kuambia watu wameisha hio ndio nini,,we need solutions
2026-07-20 21:38:47
0
gaspill :
Tufanyeje ili hizo ndoto sizitimie maana sio kurahisi
2026-07-20 21:10:02
0
Zena Mzuri Kwao Zennah :
Kwa uwezo wa mungu hatutaisha inshaalla
2026-07-20 16:25:57
1
firstlady :
mimi niliota ndoto ya kuwa nyumba yangu inabomolewa kwa zaidi ya miaka kumi, mwaka juzi ikabomolewa kweli
2026-07-20 21:01:52
0
tedykisenge965 :
Hatumo miongoni mwao wasitao na wenye mashaka ,Kwa Jina la Yesu Kila silaha itakayo inuka juu yangu haitafanikiwa
2026-07-20 23:17:55
0
Emiliana Zonzoli :
maisha yangu leo niliota ndoto duuuh ni huzuni 😭
2026-07-20 11:16:38
1
rosee :
niliota mtoto wangu amekataa shule Leo nimekosa kabisa hela ya kumbeleka shule nifanyeje sasa mtumishi
2026-07-20 08:22:26
1
lynzika :
baba nisaidiye kutoa uchawi kwenye maïsha yangu. niki ma mausiana tunaendelea tu bizuri lakini wakati tunapotaka fikiya malengo mme ananiacha na kuenda funga ndoa na mwengine. naona kwamba ndoa yangu tayari isha fungwa
2026-07-20 09:42:05
1
zippy :
Halloo
2026-07-21 04:22:01
0
user3294337044512 :
Amen
2026-07-21 05:10:26
0
Carolyne Muhonja :
mimi naye niliota naosha nyumba ya kijijini
2026-07-20 20:30:39
0
malkia wa mshono :
nifanye je mtumishi zinazotokea sana
2026-07-20 20:20:36
0
aminamumo455 :
amen 🙏
2026-07-21 02:13:45
0
To see more videos from user @prophetrogersministry, please go to the Tikwm
homepage.