@ramadhani.w.mkalagale: jamani kuna majibu huku na nimeitwa mshia. majibu yakinifu kwa mshia Ramadhani Azzaghawiyy. sikiliza kwa makini utapata faida. #videoviral #saudiarabia🇸🇦🇵🇰🇸🇦 #oman🇴🇲 #dubai🇦🇪 #iran🇮🇷 #tanzaniantiktok🇹🇿 #timermedia #timermedia #vilralvideo #TIMERMEDIA

Timer Media
Timer Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 20 July 2026 07:47:39 GMT
1333
79
37
11

Music

Download

Comments

saumuhozza16
Mrs Mkufya 💕 :
Ukiona Haki ifuateeeeee
2026-07-21 03:34:14
0
haifatymohar
💕Delam💞 :
wanawachukia sana Ahlulbayt hawajui kama kuwapenda na kuwafata ni wajib
2026-07-20 16:03:59
1
said.juma68
Truth is bitter :
Nilishwahi kukuombea dua Allah aufungue moyo wako na uione haki ya Ahalulbayt,Ahalulbayt ambao Mtume amewashikanisha na Quran kutokana na utukufu wao,Allah amewatakasa na kuwatwaharisha Ahalulbayt pamoja na Mtume na wao ndio wawakilishi wa Allah pamoja na Mtume katika dini ( angalia tukio la Mubahala ) na wao Ahalulbayt ndio wenye elimu zaidi baada ya Mtume,na ukiyatambua hayo huwezi kumtanguliza mtu yoyote juu ya Ahalulbayt,Na ili usipotee katika dini basi lazima ushikamane na vitu viwili hivyo ( Quran na Ahalulbayt ) navyo ndio kamba ya Allah,na Allah anasema shikamaneni na kamba ya Allah wala msifarikiane na kwa mujibu wa Mtume kamba ya Allah ni Quran na Ahalulbayt
2026-07-20 08:54:52
3
user4997853693724
Urinda Othuman :
Dah!!!! Sheikh Mwenyezi Mungu akutie nguvu sana Mwalim wangu
2026-07-20 14:55:06
0
raeightliston
Raeight Liston :
msichoke mashekh kutuelimisha
2026-07-20 21:28:06
0
user190099940309
salem :
Maanake hao mashia ndio wengi wanaowapenda Aali Rasulillah
2026-07-20 18:47:20
0
mama.ali043
Mama Ali :
Hawakujibu watazuga tu
2026-07-20 10:06:27
0
badawiy.media
Badawiy Media :
Alhabib ukweli unaowapa ndio sababu
2026-07-20 10:04:38
0
abdurahman.msafir8
Abdurahman Msafiri :
SAHIHI KABISA
2026-07-20 08:09:31
1
tawhidthinay
Tawhid Thinay :
Hii bidaa ya tarawehe mbona hawaisemi
2026-07-20 19:31:32
0
twamimu.salim
Twamimu Salim :
Sheikh wangu hawa watu wametiwa vizibo kwenye macho yao na masikio yao hawaoni wala hawasikii
2026-07-20 14:44:24
3
kannolejr
hamza ismail :
Allah akuhifadhi sheikh. Nakufatilia mno مقطع zako
2026-07-20 16:15:29
0
swaghiiru_na_jamii
swaghiiru na jamii :
Mungu azidi kukupa nuru ya kuwapenda Ahlulbayt a.s
2026-07-20 15:42:39
2
bakari.ramadhani47
Abuu Bakari Ramadhani :
أنا مدينة العلم وعلي بابها فمن اراد المدينة والحكمةفالياتهامن بابها
2026-07-20 19:13:25
0
haifatymohar
💕Delam💞 :
na hawatakujibu ujue
2026-07-20 16:12:20
2
haifatymohar
💕Delam💞 :
😂😂😂😂😂wanakuogopa
2026-07-20 16:02:47
0
saumuhozza16
Mrs Mkufya 💕 :
Umeongea ukweli baba yangu Allah maswali alaa Muhammad Waal Muhammad
2026-07-21 03:32:26
0
bakari.ramadhani47
Abuu Bakari Ramadhani :
من كنت مولاه فهاذ علي مولاه
2026-07-20 19:04:27
0
abdurahman.msafir8
Abdurahman Msafiri :
وعلي بابها
2026-07-20 09:22:20
0
uluguludawaasili
ulugulu :
hakuna tatizo ikiwa haki imepatikana huko
2026-07-20 08:19:39
1
mudyibinakitumbua
jey ngata fadhankir :
mashallh
2026-07-20 08:17:18
0
twamimu.salim
Twamimu Salim :
انا مدينة العلم و علي بابها،فمن اراد العلم فلياتي الباب
2026-07-20 14:42:56
5
said.juma68
Truth is bitter :
Jami` at-Tirmidhi 3788 Narrated Zaid bin Arqam, may Allah be pleased with both of them: that the Messenger of Allah (ﷺ) said:"Indeed, I am leaving among you, that which if you hold fast to them, you shall not be misguided after me. One of them is greater than the other: The Book of Allah is a rope extended from the sky to the earth, and my family - the people of my house - and they shall not split until they meet at the Hawd, so look at how you deal with them after me." حَدّثَنَا عَلِيّبْنُالْمُنْذِرِ، - الْكُوفِيٌّ - قَالَحَدّثَنَا مُحَمّدُبْنُفُضَيْلٍ، قَالَحَدّثَنَا الأَعْمَشُ، عَنْ عَطِيّةَ، عَنْ أَبِي سَعِيدٍ، وَالأَعْمَشُ، عَنْ حَبِيبِ بْنِ أَبِي ثَابِتٍ، عَنْ زَيْدِ بْنِ أَرْقَمَ، رَضِيَاللّهُعَنْهُمَا قَالاَقَالَرَسُولُاللّهِ صلى الله عليه وسلم  " إِنِّي تَارِكٌ فِيكُمْمَا إِنْتَمَسّكْتُمْبِهِ لَنْتَضِلّوا بَعْدِي أَحَدُهُمَا أَعْظَمُمِنَالآخَرِ كِتَابُاللّهِ حَبْلٌ مَمْدُودٌ مِنَالسّمَاءِ إِلَى الأَرْضِ وَعِتْرَتِي أَهْلُبَيْتِي وَلَنْيَتَفَرّقَا حَتّى يَرِدَا عَلَىّالْحَوْضَفَانْظُرُوا كَيْفَتَخْلُفُونِي فِيهِمَا "  . هَذَا حَدِيثٌ حَسَنٌ غَرِيبٌ
2026-07-20 08:47:08
1
bwansomo
bwansomo :
sasa hapo mwakosea mtu kumtaja hussein ni mashia.kwahivyo mwawapinga nyumba ya mtume.
2026-07-20 19:10:37
0
user4940544868130
abuu abduli wahabi issa :
milikua sina imani nawewe mdamlefu naleo nimejilidhisha kua nilikua sawa
2026-07-20 17:28:37
0
To see more videos from user @ramadhani.w.mkalagale, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About