mbone neno la Mungu linasema tafuteni nanyi mutapata
2026-07-20 09:29:55
7
MASUDI KIDASO :
pesa haitafutwi kweli kabisa anaetafuta pesa ni mtumwa
2026-07-20 15:40:20
7
🌱 :
ukitaka kuwakamata vipepeo usiwakimbize mpaka uwakamate badale yake tengeneza bustani na wakuja wenyewe
2026-07-20 14:17:58
5
Prosper, JN ✅️ :
Unapata unachokivuta (You get what you attract) na hii ni sheria ya asili👏
2026-07-20 18:48:53
4
Broda murph :
Izi video unazitoaga wapi Mbona sizionagi kwa account yake
2026-07-20 10:43:24
4
Rhoda Paul😊🤭 :
Mpaka utakapojipata Ndipo Utaanza kuvutia Hao anaowasema, Kwahyo nawashauri Tafuteni PESA,Tafuteni RIZIKI,Tafuteni kujuwa Kusudi la kuumbwa kwenu mkishajipata Ndipo mtaanza kuvutia wengine,,Kabla ya kujipata Huwezi kuvutia😁😁😁
Hata yeye Mchungaji kaanza kutuvutia baada ya kujipata na Kuanza kuonyesha alichonacho,Jitafteni na Tafuteni PESA,Una MTU Unaona ana Kitu kizuri unda naye urafiki Kwasababu ana Kitu kinachoweza Kukusaidia msiache,Zakuambiwa changanya na Zako
2026-07-20 20:01:28
3
Noone :
I love that the fact.
Action speak more
2026-07-20 08:46:54
2
simawe :
fact
2026-07-20 12:58:27
2
kabuli ombeni6 :
nashukuru paster
2026-07-20 12:00:20
2
blessedvero :
🔥🔥🔥🔥
2026-07-20 14:14:40
1
AAK🙏🙏 :
Hongera unanibariki xana👏👏💪
2026-07-20 11:29:09
1
Thoms Jogo Penye :
🥰🥰🥰
2026-07-20 08:20:37
1
Dickson Fredrick :
nimeamini
2026-07-20 09:04:28
1
DR_CHACHA_UZAZI :
kwahiyo tusiombe
2026-07-21 03:28:00
0
JAKALOO Carp. :
asanteh Kwa hili macho ya ndani
2026-07-20 20:41:58
0
homeglowtz :
Ni nini nifanye kubadirisha hii nguvu ya kuvutia wanaume wasio na upendo wa kweli au mimi ndio upendo wangu una mashaka
2026-07-21 05:25:38
0
RAMADHAN YASSIN :
sio kweli
2026-07-20 20:00:53
0
255azeez1 :
2026-07-20 19:50:51
0
mr.dk255 :
sure📌🤔
2026-07-20 19:28:00
0
Hercules muteba shondja adam :
Pesa 😃😃😃
2026-07-20 19:13:11
0
Nassoro mussa :
🥰🥰🥰
2026-07-20 19:01:53
0
Joseph Joram :
🥰🥰🥰
2026-07-20 17:53:01
0
honey :
So true,
2026-07-20 17:08:03
0
Bintiye :
Very true. The spirit inside you will always attract either good people or bad people.
2026-07-20 16:30:50
0
Tim :
Hili huwa nalifikilia kila siku.. ukiona mtu anakuja kwenye maisha yako alf anaanza kuongelea mambo na uchawi jua yeye ndie moja wa hao wachawi.
2026-07-20 16:07:02
0
To see more videos from user @reyvivoofficial, please go to the Tikwm
homepage.