@vitu_kutoka_germany: Tunazo PORTABLE AC KALI from MUNICH, GERMANY 🇩🇪 PRICE 👉 Tsh 380,000 na Tsh450,000 PORTABLE AC haiwekwi maji wala barafu. PORTABLE AC inasambaza baridi haraka wakati AIR COOLER haisambazi inapuliza pale ulipo tu. PORTABLE AC ina COMPRESSOR kama ya fridge. PORTABLE AC ni bora mara 5 zaidi ya AIR COOLER. #portableac #aircooler #airconditionerrepair #daikinairconditioning #airconditioning