@islamic_rihla: Sayyidah Khadijah (RA) alikuwa mfano wa hekima, heshima na mtazamo wa mbali. Kupitia maisha yake, tunajifunza kuwa mafanikio ya kweli hayaishii kwenye mali au hadhi pekee, bali yanakwenda sambamba na imani, maadili na uchaguzi unaomridhisha Allah. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH OTHMAN MICHEL 🌱 Usiache kheri iishie kwako. 📤 Shiriki video hii, huenda ikawa sababu ya mtu kujifunza somo lenye manufaa kutoka katika maisha ya Mama wa Waumini, Sayyidah Khadijah (RA), na ukapata ujira kwa idhini ya Allah. ❤️ Like • 💬 Toa maoni • 🔖 Save • 📤 Share 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US