hiyo symbol kwenye t shirt yako unajuwa maana yake??
2026-07-20 11:49:01
115
deluxeboy206 :
Big money never come clean
2026-07-21 19:28:28
0
diamond platinum :
hunachakunishauri mm nitabaki na diamond
2026-07-20 11:48:38
15
MAN of GOD :
Diamond ni mwanachama huru kitambo ndio maana Gwajima alivyo taka kumlipua aliomba msamaha
2026-07-20 15:37:20
13
Donsoh_tz :
hiyo Alama ya Tshirt ako unajua inamana gani
2026-07-21 06:29:35
3
Sonia :
kama unayaweza fanya na wewe
2026-07-20 13:04:34
4
Jobless Millionaire :
Stetas sio status.
2026-07-21 17:40:48
0
BONJO MASTER @ tz :
2026-07-21 06:05:45
2
Catyner🫂 :
Niibada za kishetani asnt sana kaka unajitaido kutufungua mungu azidi kukulinda
2026-07-20 12:05:43
20
Gerald Magome :
Sasa hapo wewe unahusikaje?
2026-07-21 05:59:59
0
Lindiwe miles :
Diamond akifanya jambo wajuaji wanakua wengi sana hasa wale wanao mchukia
2026-07-22 09:31:00
2
Sele simba :
sasa unaiuliza mimi
2026-07-20 12:16:35
2
MWENENU_BINNASSIB :
its message sio bahati mbaya
2026-07-21 17:20:47
3
mtondo@mailcom💊💊💊💊💊 :
sasa kuna shida ganii😅😅😅 boss
2026-07-20 11:45:47
6
morley :
usifatilie maisha ya watu
2026-07-20 12:18:36
4
STEVEN NP :
Na ndo bado inaabudiwa kupita Utatu
2026-07-20 16:42:19
3
Lions from tanzania :
zeus
2026-07-20 11:48:36
1
Latifa thabiti :
kifupi minaona tunao umia nisisi mana ata tukikwepa lkn tunaletewa paka kwanjia ya mavazi vyakula binaadam tumekua kama chambo ktk hii dunia mana kila kitu tunafanyiwa ukatili
2026-07-20 09:38:19
6
Ramadhan Hashim Msangi :
mda mwingine unakuwa na akili mda mwingine unakuwa na mavi kichwani 😂😂