mimi nampatie mtoto nmwambie mpelekee mama akakununulie nguo
2026-07-21 14:37:03
1
Lee Vladimir :
Hii iliwahi kunitokea,Mwanangu akiwa mdogo aliwahi kuniuliza hivi baba,mbona wewe hua hutununulii nguo?
niliumia sana wakati ni Mimi ndio humpa mama yao akawanunulie nguo.
2026-07-22 14:35:58
0
magembe :
kabisa kk
2026-07-21 19:12:33
0
user141582924019 :
sahii kbs mkuu
2026-07-20 10:53:21
1
user46322107001312 :
aliyeimba nani kama mama, alitaja majukumu ya mama na si hayo unayoyasema bro, ingawa wapi single mom wanao pray both parties
2026-07-21 08:27:01
0
zuuhill3 :
huwo sasa ni wivu
2026-07-22 14:49:53
0
Big Manyota :
mimi ata nguo na viatu naendaga kununua mwenyewe na ada naenda kulipa mwenyewe ata vyakula vya ndani naenda kufungasha mwenyewe nachoacha hela ya siku tu na yake ya matumizi😁😁😁😁😁