@nijuzenews: Mahojiano maalumu na Sheikh Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania Fuatilia mazungumzo haya kupitia YouTube Channel yetu, kisha subscribe kwa habari motomoto>>> https://youtu.be/7NDRLY_ypgc Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>> https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u
Nijuze
Region: TZ
Monday 20 July 2026 08:54:03 GMT
Music
Download
Comments
Official Conte :
ponda ni MTU smart Sana 👏
2026-07-20 15:38:35
7
juli :
Faida ya kusoma
Huyu shekhe ni msomi 👍
2026-07-20 12:14:45
9
michael :
ni wailslamu wote bana magaid mwaipopo kasha wawakilisha mda sana
2026-07-20 15:34:02
0
Munga Real Estate :
mhhh huyu mwandishi ahaaaa
2026-07-20 20:58:45
0
Suleyman Mussa :
Yaah sheikh ponda you are genius man 👍
2026-07-20 17:09:59
1
Ba arapha :
shekh ponda is the Best of the Best.........
huyu ndio shekh ambaye mm namtambua
2026-07-21 10:32:22
1
monks-mode :
uyu sheikh ni Timamu sana
2026-07-20 16:33:10
0
Hyson kabimbi :
huyu mwandish great 🤔
2026-07-20 11:02:29
4
d2 :
I always stand with sheikh Ponda
2026-07-21 02:20:30
0
pius adriano :
asante mwalimu kiongozi
2026-07-22 13:47:01
0
user600129974764 :
shekhe ponda mtu Mwenye busala na upendo
2026-07-21 19:06:31
0
walinazii logistics :
uyu sheee kasoma din nashule ipooooo🙏🙏
2026-07-20 17:30:01
1
Kamwela Mohamedi :
huyu mwandishi ni proffessional sana maswali yake yana mantiki
2026-07-21 19:11:25
1
kaizilege Mahmood :
Sheikh Ponda Issa Ponda Allah akujalie afya njema Inshaallah Tanganyika kwanza
2026-07-20 12:07:04
1
juze :
jina la muandishi wadau
2026-07-20 20:15:52
0
salumchami :
Huyu muandishi ni mgeni kutoka nchi gani
2026-07-20 10:10:06
0
Watu Huru :
Muandishi yoyote ambaye anamuhoji Sheikh Ponda ni TISS
2026-07-20 21:46:41
0
sospeterpeter622 :
mwaipopo inafaa ashughulikiwe
2026-07-20 12:14:52
1
Akida tz :
safi bakwata sio chomb chawaislam Nichomb chaserekali Au nimzim wanyerere 😎👍
2026-07-25 01:10:06
0
✍️Ntahondi :
Ponda Issa Ponda
2026-07-20 16:28:55
1
Ayoub Yusuf :
angesema ponda jela tayari
2026-07-20 17:46:30
0
Đł₦ɏ :
Ivi mwaipopo ni shekh wawapi na kasom wapi
2026-07-20 18:05:22
0
RUFIJI+KIBITI +MAFIA :
bakwata ni
baraza la kuukandamiza waislam Tanzania
2026-07-21 04:00:33
1
Hassan :
Allwa awasimamie mushinde nahili pia bakwata ni genge la kutuhujumu waislamu
2026-07-20 17:36:40
0
Mkulale :
😳😳😳
2026-07-20 10:34:36
0
To see more videos from user @nijuzenews, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.