Mie nakupenda mpaka mwisho wangu upendo wako ukiisha nitakugaiya nusu ya upendo wangu nilishasema sitaki kuchezewa chezewa bora kurekebisha makosa 💯 kwa mwanaume mmoja kuliko kosa moja moja kwa wanaume 💯 aaaah unipende siku 40 izo shida zako mie hazinihusu
2026-07-21 06:24:10
36
glory 🤭 :
kwahyo nimeachwa😂
2026-08-21 21:24:14
13
🤲🤲🤲 :
mbona mnapenda cku nyingi Ivo cc mbona Huwa tunapenda Kwa siku1 tu zinazofata tunaangalia sapampa
2026-07-21 19:59:11
20
Pam :
Mm mwanamke ila wiki tu jamn nishamchok mtu
2026-07-21 08:29:21
17
zuuh🥰 :
mimi napenda siku 20 tu zikiisha nakuangalia nikioa hujielewi nakuacha
2026-08-23 16:09:13
10
phirrrr :
daah me mbona ni tatu😂😂
2026-08-23 09:12:11
11
FADHILAH :
mbn nyingi nyie sisi siku 2
2026-08-23 09:46:35
7
mosh mosh :
Kaka unatuponza huku hizi code zengine walikua hawazijua hii Mifumo ilikua siri
2026-08-25 01:17:17
7
chafu pozzy :
blaza unatowa code mzee hizo kod
2026-08-23 06:30:32
8
Innocent Mbilinyi :
nikwel man
2026-07-21 05:00:18
5
jm14🦴 :
me napenda kabla sijakubaliwa,ukishanikubali tu sina upendo tena hapo
2026-08-24 08:20:20
5
markiss🥰 :
si wenyewe atujali lolote ata Unipende siku Moja au masaa atujali kbsa brother sijuh umenielewa
2026-07-21 07:42:25
8
selemani :
nikweli kabisa hilo
2026-07-21 09:01:09
7
jack18912310365933600 :
m. hata wiki mbili 2
2026-07-21 04:58:48
7
Mary-khan🦋 :
Nina mpenz wng jmn na mpak napanga ni upendo wake juu yng kila kitu kwng ni juu yake mpk kodi jmn wanaume weny upendo wa kwel wapo jmn na mwanaume akikupenda awez kusema hana yup radhi akakope wew upate trust me guys🥰
2026-07-21 19:20:20
6
Kombo Ali Machano :
Upo sahihi miezi 3 majibu yanapatikana
2026-07-21 04:08:44
6
💗💗tuytuh🎀🤺 :
bas mm n mwanaume😏😏
2026-07-20 11:45:53
6
Leo :
Bas mi ninaependa siku 3 sio mwanaume
2026-08-24 08:55:02
4
kevoh jr 🧢🎩 :
50/50
2026-07-22 10:12:03
0
💕minh❤️😘 :
sisi kwa kuingiz upend tunajua nawez kulia na sikupend
2026-08-25 05:20:09
1
Jacky Chazzy :
oya mmi nikiichap tu upendo kwisha kilicho baki niwwe tu na tabia zako
2026-08-24 08:19:36
2
marry OG :
hzo nyingi nilipendwa siku mbili tu🤣🤣🤣
2026-08-23 19:38:28
1
To see more videos from user @mjukuu_malundi_manyanda, please go to the Tikwm
homepage.