Quelle inspiration ? vous méritez beaucoup, que le seigneur vous bénisse !
2026-07-20 21:52:03
12
racheal mupah🥰😘😘 :
nkama hii nyimbo muliniimbia mm i remember nkifukuzwa na mtoto wangu juu nlipata ball nkiwa shule and let me tell you ingkua mungu ni mwanadamu sjui nngkua wap sai bt afadhali mungu si mwanadam now my first born anasoma na mm mwenywe nko na ksz nzur adii sai yule alienifukuza ananipigia nmsaidie akiii staogopa juu nlipitia kipindi kigum san bt mungu si mwanadamu love you from kenya 🥰🥰🥰na mungu azidi kuwainua 🥰🥰
2026-07-20 19:57:23
19
prun :
😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌 mungu amibariku tena kua utele. a jesus est bon 😭
2026-07-22 15:26:35
5
fiffy :
mnajua sana ila mfanye mje Tanzania kwa mafanikio zaidi
2026-07-20 15:43:07
11
Sk leur_cauchemar🦋🦋 :
Mungu ni wetu Afadhali
2026-07-21 05:47:55
8
Lilly🍓 :
Walai I was so broked but after kusikia hii nyimbo nafeel like niko niko mwepesi rohoni...mungu azidi kuwapanulia mipka na mzidi kbrikiwa sawa....🙏🙏🙏