@allyally544: #mawaidhayenyemanufaa #islamic_video #muslimtiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

علي مبرك☪️❤️
علي مبرك☪️❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 20 July 2026 10:23:02 GMT
272773
16439
310
4088

Music

Download

Comments

swfatyshedafa2
swfatyshedafa :
vp wenzangu uk kumbato lpo au hayaniusu😂😂😂
2026-07-20 11:41:19
62
user2085470372611
Mama Hajji :
nlikumbatiwa siku ya harusi paka leo
2026-07-27 19:39:25
20
salish.honey
salish honey :
yaaa Allah tujaalie nasie ndoa ameen
2026-07-21 20:38:30
26
mtega24
Mtega Comfort :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😳😳😳 Kumbe kuna Mengi Huko kwa kina Ndoa 😒
2026-07-21 06:55:08
32
user11161686654508
Mama D :
mi tangu naanza nae, huu mwaka wa 11 cjawahi kkumbatiwa hata mara 1... jaman kwa wale ambao hatujawahi tujuane
2026-07-22 05:41:06
13
www.priana
pili😻😻😻 :
me cjakumbatiwa tangu asbh mpka mda wa kulala😅😅😅
2026-07-20 22:52:39
8
valverde0002
𝕂𝕚𝕥𝕦𝕞𝕖 𝕗𝕒𝕞𝕚𝕝𝕝𝕪💥 :
Daaah leo nimeachika ujue 😭😭😭
2026-07-22 07:23:12
3
maazin586
maazin58 :
Ukishamkumbatia mara ishirini iyo pesa ya kula itapatikana wap?
2026-07-21 14:23:02
8
conno097
🦋Yülconnoř🦋 :
Nmeskiza nkiwa na mme wangu karuka ruka kwa kicheko nd mamb ayapendayo 😂😂
2026-07-22 17:21:19
4
hasnahcute1
@Hasnacute :
🥰🥰🥰🥰 acheni nikumbatie mtoo wakulalia jamni
2026-07-21 04:47:27
8
fety3743
bintiochu :
mmmh kumbato Moja tu mtihan sembuse hizo mara zote
2026-07-22 12:34:16
11
mishmey
mishmey :
kwan niko dunia gan leo mm
2026-07-21 14:58:36
2
hidayaabdala357
hidaya abdala :
so kwa juma ninayemjua mm🤣
2026-07-22 20:42:44
1
user4152296888428
miss dayan :
sikumbuk baba angu alinikumbatia lin 😂😂
2026-07-29 15:58:22
1
jennifer.george437
Jennifer George :
sheh samahani sio kwa wanaume hawa
2026-07-24 16:52:10
3
user59803570477993
yasmin 798 :
shehe wengine tuko singo🤣🤣🤣🤣
2026-07-23 12:13:14
1
aishaally42
habiba :
wangu hana mda kwangu ata kwa watot
2026-08-04 03:43:23
0
zaharanusura
Zaharanusura :
me kukumbatiwa ctaki, anipe pesa tu ntamuona anafaa
2026-07-24 18:51:07
1
habibasaburi
🦋Haby🦋♒️ :
Mi ananipa 👊sijui kanion msela😂
2026-07-31 17:52:32
0
vision_like_aegle
S_MIWANI🕶 :
hii akiona wife nimekwisha
2026-07-21 18:55:11
2
shuu8255
shuu :
SHEKHE unaongelea wanaume gani
2026-07-25 16:31:40
1
rizik.mwadzoka
Rizik Mwadzoka :
nae sie wangu😂😂😂..Ana mda huo
2026-07-22 16:50:01
1
farihiakiwope
Farihia Kiwope :
kumbe kuna kukumbatiwa jmn🥰
2026-07-30 19:13:19
1
mm.s.s.omar
Mm s.s.omar :
hawafanyi hivyo wameshindwa
2026-07-24 18:00:01
1
luciaoduory
LucyOduoryLucia🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 :
sema kwa kizungu nimutumie lafu of my lyfuuuu😂😂😂
2026-07-28 14:38:53
1
To see more videos from user @allyally544, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About