@jamilakasimu2: Beki wa kushoto wa timu ya taifa ya Hispania, Marc Cucurella, amezua gumzo mitandaoni baada ya kuonekana akiondoka uwanjani akiwa amebeba Kombe la Dunia kwenye mfuko wa kawaida wa plastiki. Kitendo hicho cha kushangaza kilijiri mara baada ya sherehe za ubingwa kukamilika, huku sanduku maalum na la kifahari la kubebea kombe hilo likiwa mikononi mwa ofisa wa benchi la ufundi la timu hiyo. Video na picha za tukio hilo zimesambaa kwa kasi ya ajabu kwenye mitandao ya kijamii, ambapo mashabiki wengi wamemfurahia Marc Cucurella kwa namna anavyochukulia mambo kwa wepesi bila makuu.

3frend ship
3frend ship
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 20 July 2026 10:23:04 GMT
219
9
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @jamilakasimu2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About