@cawabemedia_: Sheikh Ponda Issa Ponda ameelezea iliyokuwa sababu haswa ya tukio la Mwembechai lililosababisha vifo kwa baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu kwenye Mahojiano na Mwandishi wetu kwenye KIpindi cha POLITICALTHEATRE
Sio mchezo hilo tukio! mnapigwa mabomu ya machozi mpk vyumbani hii ilimfanya mpangaji wetu muuza chips kukamatwa na alipotoka segerea tu baada ya wiki 2 alifariki! 😭😭 innalilah wainnalilah rajuuni 🙏
2026-07-21 04:25:49
2
Tatu Mikidadi :
Allah atawalipa kwakila aliehusika
2026-07-20 18:52:46
0
DITADORO :
Kuna kijana mmoja pale mtaani alipigwa risasi kipindi kile alikuwa yupo kidato Cha pilitu, risasi ile ilimpelekea kupooza, mpaka akafariki baada ya mwaka mmoja kupita
2026-07-21 04:07:34
0
Juwairia Mikidad :
polisi walikosea kuingia msikitini
2026-07-21 01:44:27
0
achamiramrope :
Mauaji ya Mwembe Chai hakika ni doa kwa serikali ya awamu ya tatu
2026-07-20 16:41:20
2
Chidy_turn_up :
kumbe haya mambo yalianzaga zamani
2026-07-20 22:00:53
0
nyoka@@&&& :
kitima kipindi hicho akua mtanzania
2026-07-20 19:12:18
1
Otieno :
Mkapa na Maita mungu asiwape wepesi wowote
2026-07-21 06:00:06
0
Matata Matata :
aliyesema ni sawa tu watu kuuwawa na yy yupo anapata haki yake kwenye futi 6
2026-07-21 14:23:17
0
Black Boi 255 :
Kuna mambo HUWEZI kuyasema. Saanane usiku watu wamekusanyika msikitini, unafikiri walikuwa wamekaa wanaswali au wanashika tama kujadili yaliyotokea mchana? Hao watu walikuwa wanahamasishwa kufanya KITU kwa ajili ya aliyekamatwa.
2026-07-21 05:17:01
0
scotimaster :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-20 11:14:50
1
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm
homepage.