@mbtvkenya: Miaka mingi tumekuwa tukisikia sauti yake ikitafsiri Qur'an, lakini hatukuwahi kuuona uso wake. Je, unajua Sheikh huyu ni nani? Taja jina lake kwenye maoni.
Hi sauti nimekuwa nikiisikia tangu utotoni Mashaa Allah 👏🥰👏
2026-07-20 18:25:48
554
Shema Nadia :
is the one ?
2026-07-25 21:00:00
0
BIG TEE💰👑🌹 :
jamani nmesikia raha sana Alhamdulillah❤️hii sauti inaniingiga hadi moyoni,Allah akupe maisha marefu mzee wetu🤲
2026-07-21 06:38:58
344
Samir Hassan Lau :
Sheikh Mohamed Suleiman
2026-07-20 12:30:12
167
zubeda :
manshallah
2026-07-25 17:24:40
0
salhaty kss :
mashaallha
2026-07-26 06:28:24
0
Swalhab :
from 6years hadi sai ni miaka 20 nikiiskia sauti hiyo ninaipenda sana wakati wa Qur'an tafsir, insha'Allah tutakutana peponi kwa Rehma ya Allah,Niliipenda sauti na bado naipenda
2026-07-21 10:19:43
103
ukthy :
Masha Allah .. Allah akuzidishie umri n akujalie kheri fil dunia wal akhera
2026-07-21 13:22:39
47
Banny :
Allahumma Baarik! Sauti yake very authoritative
2026-07-21 16:57:37
5
💋💅🏾 :
Alhamdulillah leo nimekuja kuona sheikh ambaye alikua akiniogopesha kwa tafsiri n sauti ya kuogopa nilipokua mtoto.
Masha Allah ,Allah Amuhifadhi
wallahi nimefurahi sana mpaka machozi yanitokq
2026-07-21 08:18:05
43
chibalo :
Kila tone ladhambi yarwab akusamehe malaika wema wakupokeee keshoo ufikapo kaburini,Allah akujaalie umrii mrefu wa Ibada Kisha husnulkhatimah.
2026-07-21 05:15:53
47
SAYYIDA AMINA 🌹 :
MashaAllah
2026-07-21 04:47:29
14
zahrina :
jmn ... Allah amjaze... I really like how he translates the Qur'an
2026-07-22 17:53:34
8
Habibahnjoki102 :
MashaAllah seen him for the first time
2026-07-21 02:47:28
17
nay love🥰🥰 :
sauti yake inafanan na yy wenyew mashaallah
2026-07-21 18:33:19
32
HALAL NIKKAH CONNECTION🕌🕋 :
Babangu huyo Allah amuhifadhi🥰🥰🥰hakika tunampenda na kumuenzi❤️❤️❤️
2026-07-22 08:37:21
13
Eagle ¢haiπ 🦅 :
Sauti ya Mamlaka, Respect mzee
2026-07-21 11:31:04
18
Rukaiyah Abbas :
Mashallah tabarakallah... Allah amjaalie umri mrefu 🤲
2026-07-21 06:12:13
7
user5683126632006 :
mashallah mungu akujaalie kila la kheri
2026-07-21 19:25:31
5
Mwajohari :
hii sauti ipo janna firdaus l aalaa,,toka miaka tusikia
2026-07-21 19:27:11
5
URWAH OMARY :
Shekh moh'd sulaiman
2026-07-20 20:31:29
41
THE MOSAF EXPERIENCE 🇰🇪🇹🇿 :
Sio huyo uliyekuwa ukimsikia tangu utotoni, yule Alikuwa akiitwa Sheikh Ali Muhsin Barwan alifariki 2006 Muscat Oman. Huyu Sheikh kaendeleza japokuwa sauti zimefanana
2026-07-21 04:37:48
65
Farhan mom :
Allah azidi kumuweka wallah sijawah kumfahamu Leo Nd ya Kwanza nmefurah kumuona Allah atuzidishie na kwenye vizazi vyetu tujaaliwe pia
2026-07-21 17:28:54
15
Amanamndewa :
mashaallah allah amzidishie kheri yingi
2026-07-21 12:44:51
7
user5018032842250 :
sheikh mohammed suleiman
2026-07-20 12:12:14
10
To see more videos from user @mbtvkenya, please go to the Tikwm
homepage.