In the event of a hospital explosion or fire,
DNA analysis is extremely helpful.
However, such an occurrence is exceedingly rare—happening perhaps one percent of the time—and Islamic legal principle holds that the rare is not subject to a specific ruling.
2026-07-23 07:45:40
0
Zash_bakes $ Cake Tools :
Mniitie Diamond hapa 🤣🤣🤣
2026-07-21 07:35:57
3
robertmukolwe453 :
Maelezo safii kabisa, Nimeelewa vyema.
2026-07-20 13:57:34
2
sweet berry :
KWANINI ASIPANDISHWE MWANAUME MIMBAR AAPE YAMINI NA KUJILAANI??? ANA WAPANDISHWE WOTE WAWILI MIMBAR WAJILAANI.
2026-07-21 12:36:18
0
khadijamasoud85 :
je ikiwa mtoto alizaliwa mwaka wa 1985 na hao wazazi wakaowana 2010 je huyu mtoto anakua na haki ya kurithi kwa huyo baba?
2026-07-22 05:24:00
0
sheikh Ibrahim Said :
Iwapo kutatokea mlipuko au moto hospitalini, uchambuzi wa DNA huwa na manufaa makubwa.
Hata hivyo, tukio la namna hiyo ni nadra sana—likitokea labda kwa asilimia moja tu ya matukio—na kanuni ya sheria ya Kiislamu inaelekeza kuwa jambo lisilotokea mara kwa mara halihusishi hukumu mahususi.
2026-07-23 07:46:42
0
Musa Hau :
😁😁😁
2026-07-21 05:18:46
0
To see more videos from user @alihsaantv, please go to the Tikwm
homepage.