@setix47: @Attuh💦😘 @mr one way @Lone wolf @Ayzal❣️🫂

SKM🇹🇿🇩🇰
SKM🇹🇿🇩🇰
Open In TikTok:
Region: DK
Monday 20 July 2026 11:59:40 GMT
228432
18571
820
676

Music

Download

Comments

wiladipatnaah1
Reward Mrema :
Kipindi nipo nae cjawai kushika hata laki yan ameondoka miezi mitatu tu sijui hizi Baraka zimetoka wap. Nimshukuru Mungu tu
2026-07-21 10:30:38
151
reylove214
Aziza🇹🇿 in oman🇴🇲 :
baba wa watoto wangu aisee nashukulu tuliachana 🙏
2026-07-23 19:16:50
101
mtikasi1
Nasbu. D :
Sijui ni kwanini mimi Kila nikiachana na mwanamke anaolewa
2026-07-24 12:46:45
33
jamaica_clothing_store
Jamaica_clothing_store :
Kuna demu nipo nae mwezi wa 6 huu mambo magumu sana 😢
2026-07-26 16:57:26
10
prettyfaah56
😇princess-faah👸 :
nasema hivii ukiona ameondoka umeanza kuona mafanikio huyo sio mtu wa kua nae karibu tena😂😂😂
2026-07-23 17:10:55
25
getrude.gerald
Miss Kitundu :
ila watu waongo jmn , et kila mtu oohooo na mm ivi na mm ivi mmmh
2026-07-25 13:49:11
2
elambilishombe
TEAMGOLD Elambili👣 :
mi ilifungwa sijui tampata wap
2026-07-23 12:07:49
5
na7omy7
️ :
me nipeni jina la wimbo😂😂
2026-07-25 17:03:35
6
masterrazorcuz1
Official Master Razor cutz :
nikiwa nae nilikuwa napata hela.ila.zote zilishia kusuluisha ugomvi maendeleo nilisikia kwa jirani ila nimeachana nae nimeweza kujiwekez saivi niko mbali
2026-07-22 19:49:25
14
zuu8583
zuu🍎 :
Alhamdur lillah
2026-07-24 12:44:07
4
niyifashije
kivis :
mbona yangu bado hinafunga
2026-07-25 10:33:17
0
rose.greshz
Rose :
Kama ulikuwepo vile Yaan saizi nina 💸
2026-07-26 11:18:57
1
emmnauellucas
Emmanuel Lucas :
unaachana na mtu afu inaingia email cku hiyohyo
2026-08-09 16:56:42
0
badriahassan4
🦋...BADY O G😘 :
Ndio mm sasa Alhamdulillah
2026-07-25 11:20:07
6
mee7064
mee❤🦋🔐 :
Nina ushuhuda nyie🥺 kuna wakaka sio wa kudate nae 😢 na ukidate nae ndo utajua kwanini ulimkuta single 😭😭😭🙌
2026-07-23 04:21:27
5
elaikulei911
Elai :
uzuri ukiachwa Akili za Kutafta Ela Zinakuja kwaajili yuku prove nin unacho 💪💪
2026-07-23 16:16:26
8
azizisuw
azizisuwa :
MWENYEZI MUNGU ndo muweza wa yote hapa dunianu🙏🙏
2026-07-22 19:45:08
5
flexicorp
FlexiCorp Works :
Milango ya baraka inafunguka unapokua uko free na huyo mwenzako,akili inakua huru kutafta fursa
2026-07-26 10:54:40
5
cutelee135
cutelee🌸🌸 :
mimi kuna mtu nipo nae milango imefungwa🥺🥺
2026-07-26 15:20:28
3
user4261805924460karembo
mrembo👌👌🥰 :
naushuhuda🤣🤣
2026-07-25 20:10:43
2
mom.ake.ester
💔 :
100/100
2026-07-24 12:34:37
1
notti.jr4
Notti :
huyo ni Mimi kabisa baada ya kuachana na x wangu mahusiano miaka 7 sikuwahi kua na maisha yaani Bora ya Jana nilivyoachana bae ndani ya wiki moja naitwa kazni now ninakaisha yangu safi nalipwa pesa ndefu ambayo toka nizaliwe sikuwahi kuwaza kma nitawahi lipwa😀
2026-08-03 12:37:34
2
user94246123475220
hanipha cute :
nipeni kiti nikae nielezee 🤣🤣🤣
2026-07-27 05:19:52
1
scholasticahokind
schola :
my ex boyfriend hello 👋 apa gulf ndo tunalipwa 😂😂
2026-07-26 14:37:03
1
mwashu123
Mwashu beauty saloon :
ndio nishawai na ninashukuru sana kwasababu kuniacha kwake kumefanya maisha yangu yawe mazur zaidi ya jana👌
2026-07-24 13:43:19
2
To see more videos from user @setix47, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About