@potinho_classic: FIFA president in tanzania #simba #simbasctanzania #sportontitok #tanzaniatiktok🇹🇿

POTINHO CLASSIC
POTINHO CLASSIC
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 20 July 2026 12:23:28 GMT
450917
56297
1169
2279

Music

Download

Comments

zainabuzaharani
zay abouh :
Kam Kwely nguvu moj gong like
2026-09-06 09:58:32
0
festolameck960
Festo Lameck@17 :
kama ww simba gonga like
2026-07-20 13:46:58
1916
sulema7243
sheby boy :
mbn kama Raisi wa FIFA
2026-07-20 19:06:15
537
elastbor
@_£ fùllstàr💦 :
kuna watu watasema AI😁
2026-07-20 19:05:47
503
user1090311469476
Erick msafi :
wakristo wenzang tumsifu yesu kristo 🙏🙏🙏🙏
2026-07-21 07:51:04
702
user4419112275827
joshua munishi :
kwaiyo timu inayojulikana sana nje ya tanzania ni simba tu ,je izo nyingine ni nini jamn nisaidien
2026-07-20 14:02:15
227
amanjoseph776
Joseph. AN. :
Team ya kwanza kumleta Rais wa FIFA simba itabaki kuwa simba
2026-07-21 07:58:06
227
user6563565975181
Stray🦋 :
kwan Lin aliwahi kuja tz hii ni ai
2026-07-20 19:35:20
97
msudan93
D - Msudany 🇷🇼🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
yanga hadi hiyo hutuba wanatamani ingekua yao🥺
2026-07-20 21:51:17
53
ramadee84
rama dee :
eti jaman kuna mtu kasikia ikitajwa yanga? maana kuna mtu huku kaniambia eti na yanga imetajwa
2026-07-20 19:35:39
53
griffintz0
BUNJU MAWE :
ASANTE MUNGU ME KUWA MWANA LUNYASI AISEEE😁
2026-07-21 17:27:36
35
saddhbrand1
sadd'h..01🫵 :
Samia MTU WA mpira sana bila Samia tusingeyaona HAYA Asante Samia kwa kupambana KWENYE michezo
2026-07-21 07:56:47
9
king.elia1
king Elia :
SIMBA SIMBA SIMBA 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-20 14:08:16
46
officialhp02
Hopder❤️ :
🥹🥹❤️❤️Kama ww ni Simba gonga like hap😊mpk nimetok machoz ety🥹
2026-07-23 17:20:06
20
rohaniadamu
->Rohani<- :
iliwauma watu hiii siku nabado itaendelea kuwauma t2
2026-07-21 08:56:10
20
kevoo.medard5
MR KEVOO 45⭐ :
me yanga ila kwa ilo Simba kwel waliwakilisha vyema Africa
2026-07-22 05:27:11
19
officialfee7
officialfee7 :
Kama unaamini SIMBA SC wanaushawishi na mvuto mkubwa Africa Gonga like hapa
2026-07-21 12:16:00
87
david.dietrich13
Daloha26 :
ivi iyoo ilikuwa simba day au
2026-07-23 16:40:05
5
thobiasjulias540
thobias :
mwana simb gonga like apa
2026-07-20 13:55:51
36
beatusbenard
B~$quare outfits :
wakati huo alikuwa ni raisi wa FIFA sio sasa
2026-07-21 10:38:52
32
rashidiissa76
Mr Famous :
Ila AI nmeiogopa aisee nmemuona Mjomba angu uwanjan😁
2026-07-21 07:24:37
9
athanas0930
Athanas 🙏 :
sisi ndio simba na hii ni Tanzanian ❤️
2026-07-20 21:12:29
6
j.young158
j. Young(@new🐉🔥🙏) :
mbon hajataj yanga
2026-07-20 15:19:13
7
isaya.mwakasweswe
Emma2026 :
kwa kweli apa simba walitu sapries gues
2026-07-21 04:16:15
21
patiencebalama
patiencebalama :
ukisikia matarumbeta tuu unajua hii ni Tanzania🤣🤣🤣🤣
2026-07-20 19:29:54
9
To see more videos from user @potinho_classic, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About