@gabby_kisalo: #qadiriyya #sheikhwalidalhad #tanzaniantiktok🇹🇿 #islamic_video #daresalaam ongera sana sheikh Walid, Allah atakulipa kwakazi kubwa uliofanya

GABBY_KISALO
GABBY_KISALO
Open In TikTok:
Region: AU
Monday 20 July 2026 12:39:33 GMT
45937
2669
87
245

Music

Download

Comments

fesal.software
fesal software :
mm naamini uyuu sheikh walid mama samia atampa position nyie angalie tuuu mchezo
2026-07-20 20:14:12
17
ridhiwaniseremani
Ridhiwani Seremani :
kwel sina zambi
2026-07-21 19:07:50
5
user6071364562224
Dullah Ikulu Decoration :
sheeeh waridi mwamba sana aisee pia ana hekima sanaa
2026-07-20 19:37:21
14
benbryson11
benbryson :
si mauza uza haya kweli kweli kabisa watu wanthubutu kuuza msikiti??
2026-07-20 20:46:12
10
shaban.eng
Shaban Eng :
huyu ni kiongozi sahihi.ktk umma
2026-07-20 20:22:54
14
maryamuali
Maryamu ali :
Allah akuhifadhi shekhe wetu shekhe walidi🥰
2026-07-21 14:34:22
1
yagga043
Yagga :
Huyu Shekh anafaa kabisa kuwa RAIS wetu
2026-07-23 09:49:58
1
mbwanamsisili
mbwanamsisili :
Allah akuangazie inshaallah
2026-07-23 04:37:21
1
anuarymajidy
Anuary Majidy :
Allah akupe afya njema siku zote 🙏
2026-07-22 09:09:39
1
rehema770
Rehema :
Allah akupe nguv shekh wang
2026-07-20 20:03:50
7
frankibrahimu
Frank Ibrahimu :
uyu jamaa ana kiti chake mwenyezi MUNGU kampa kibali cha kupendwa na raia
2026-07-21 06:54:31
6
mbacho.classic
Mbacho Classic :
duu. shekhe kweli kwa hali hii lazima wakufukuze hekima yako ni ya hali ya juu sana.
2026-07-22 18:50:26
2
chandaelectrical
𝕰𝐇𝐀𝐍𝐃𝐀 ⊙➊🌽🐓 :
Subhanallah watu watabata jmn😔
2026-07-21 06:49:37
4
shaabanabdulrahma31
Shaaban Abdulrahman :
Allah akupe hifadhi ya nguvu hapa duniani na kesho akhera .
2026-07-21 23:24:34
2
samabrown5
samabrown :
Walid we mkweli snaaa izi kesi me nilikuwa naskia nikiwa mtoto .ila wewe umezionglea hadharani watu wajue..mana zamani wazee walikuwa wanaogepeka n kujulikana mzeee wa msikitini wale wachawi..lkn wewe umesimama kusema ukweli bila hofu ili wote wapate Haki vijana na wazee .naimani walokutoa wewe ni wazee ili jambo alitaisha mpk hukumu yake mungu
2026-07-21 06:46:45
5
ahmed.bulji
Ahmed Bulji :
subhanallah
2026-07-21 07:46:12
1
aminasaidplantan
Amina said Plantan :
Allahu Akbar
2026-07-21 09:10:15
1
kingmking8
kingmking :
mungu akuwekee kivuri kila uchwao
2026-07-22 08:53:41
1
samerly35
@Samerly35 :
Allah akujaalie kher biidh llah
2026-07-21 05:30:51
2
gaston.kasheija
Gaston Kasheija :
shee ward
2026-07-20 19:17:01
4
user6145585926026
hakimi :
Allah akuwezesheni in shaa Allah
2026-07-20 19:55:11
5
said86472
said :
alhamdulillah
2026-07-20 20:11:25
4
tizzo718
Tizzo :
Mtu kama huyu tunampoteza kirahisi kweli?
2026-07-22 16:33:34
1
alijumrashd
ALI jum Rashd :
hkun ton mtu kam ww
2026-07-22 14:00:57
1
zulfitajebby
zulfitajebby :
Allah akupe umri mrefu na hekma weee ndo shekh wetu
2026-07-21 07:59:02
3
To see more videos from user @gabby_kisalo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About