@afya.yako.ni.faha: Kukosa au kupungua kwa uteute (synovial fluid) kwenye maungio ya mifupa kunaweza kusababisha: 1. Maumivu ya viungo – kutokana na mifupa kusuguana moja kwa moja. 2. Ugumu wa kutembeza kiungo – viungo hukakamaa na kupunguza uwezo wa kusogea. 3. Kusikia mlio wa kukwaruzana au kubonyea wakati wa kukunja au kunyoosha kiungo. 4. Kuharibika kwa gegedu (cartilage) – jambo linaloweza kuongeza hatari ya ugonjwa wa osteoarthritis. 5. Kuvimba na kupungua kwa uwezo wa kufanya shughuli za kila siku kutokana na maumivu na msuguano wa viungo. #tangawizi #mifupa #maungio #maumivumagotikiunomgongo#foryou