uuyu jamaa alikuwa anashawishi atawatu tufanyekazi
2026-07-21 10:54:46
32
Ndongo matruck :
hapa kura yangu nilipiga kihalali kabs
2026-07-22 06:44:28
21
Serengeti welding :
Tupate wapi tena mtu Kama huyu ambaye Bwana Alikuwa. Ndani akee
2026-08-17 21:16:54
11
Kash🫵🇰🇪 :
Kenya 🇰🇪🇰🇪tulikupenda baba🥰🥰
2026-08-26 09:47:09
2
user4680843637960 :
alichukia mpaka mwisho
2026-07-21 07:08:50
11
Jakobo Olesholol :
hiyo,sauti,ya,umma 💯💔💗🤚👋💖💪
2026-07-21 05:49:23
15
ibrahimmistaazam :
ili swali ata mm naulizaga kila kitu inachukua mda kwann NIDA zaid ya miez minne,Hati za ardhi zaid ya miez minne yan shda hua ni nn alafu vingeleza vingii
2026-07-21 17:09:20
12
OKANGA NORENG'A :
😅😂😁ila binadam c mlimuita dicteta ngoja tunyooshwe kwanza
2026-08-22 11:36:24
4
baba rebby :
tunakukumbuka sana baba
2026-08-19 03:12:17
1
Osana Zella :
du ee mungu tupe kama huyu
2026-07-21 09:30:21
8
Niko Mgata :
mungu mungu mungu eeeeeeee Bado tunalia
2026-08-02 06:08:10
2
jay j :
si rahisi kupata kama wewe 😭😭😭😭lakin tushukuru kwa tote🙏🙏
2026-07-29 13:27:28
3
MWAISA PHONE AND SPARE PARTS :
sehem pekee wabongo mungu alituamsha na kutuliza 😭
2026-07-21 12:43:29
10
siraji@ :
hiki chuma kutoka chato kilikua noma sana
2026-07-21 05:51:05
8
Athuman mreta :
maguu baba tunakulilia xn kwanin mungu ulimchukua huyu mtu ungetuachia tuu jmn
2026-08-18 16:22:33
1
Adamson jr :
R.I.P Mhe Rais Magufuri Kwa Kweli Basi Tuu.
2026-07-31 03:45:19
3
user4680843637960 :
Sijui kama watu wa masasi wanamkumbuka JPM alivo wapambania
2026-07-21 07:07:57
7
MR_KOROSSO :
Hapa chuma alichukia saaana 🙏
2026-07-20 18:43:44
5
Frank ndawile :
babaaaa😭😭😭😭
2026-08-18 12:13:20
1
Raphael Nelson Mwanjalila :
Rais kuja kutowahi tokea Tanzania 🇹🇿 huyo ni Magufuli TU
2026-07-20 15:34:04
5
JAFARI :
inaumiza sana Leo mungu ameamua kumchukua kwel dunia haina huruma nimeamini uwe na pesa usiwe na pesa uwe na elimu au usiwe na elimu dunian
2026-08-20 20:57:38
1
Mfaume :
wako wapi viongoz kama Hawa? Ina maana nchi hii ilikua na mtu mmoja tu???
2026-07-22 07:09:17
2
ochu ndaro :
dah iki chum lin tutapata km huyuuu😭
2026-07-21 03:42:53
6
Omali Halifa :
mungu alaze loyako maali pema
2026-07-21 18:19:40
4
To see more videos from user @jamalofflcially, please go to the Tikwm
homepage.