mambo ya rock beach ⛱️kuogelea bureeeeeeeeeeeee 😆😆😆
2026-07-24 08:29:30
3
AGENT OF WYBAH TZ 🇹🇿 :
kaka naomba nije mnielekeze Jinsi ya kuelea kwenye maji make natamani kujua kuogelea
2026-08-06 10:20:54
2
mariamukashirikal :
jamn mwanz Raha san
2026-07-21 06:59:31
1
richi chacha🇰🇪🇰🇪🇰🇪 :
Nakuja nimemixi kuogelea
2026-07-24 13:39:20
1
Richard....m :
nikirud Tanzania yan nitaongelea cku nzima mungu nisaidie 🙏🏻
2026-08-08 09:47:25
2
@mgboy529~~~🧢🧳🧳~~ official :
iyo mwanza kamanga duuh noma sana
2026-07-21 05:33:43
1
miss G :
nyie mbon mko katikati kbs
2026-08-14 09:35:47
1
momy twince :
sanaaaa
2026-07-31 08:22:13
1
Elias Mtabuza :
mukumbuke huko kunamamba
2026-08-06 18:07:00
1
Samuel John :
nimefanya sana hio michezo kule nyamatongo sengerema na bwilu press kwakwel bila kuwemo mamba ziwan kamanga ferry watu tungekuwa tunavuka mpka n'gambo sema mamba mto na majini vinaogopesha
2026-07-25 09:38:02
2
Paul Oscar :
Mamba wanaua vipaji vyetu 😂😂
2026-08-15 07:12:58
1
Juma Samson :
hao vp wageni mwanza nn hilo ziwa hawajapewa taarifa
2026-08-16 16:01:24
1
FAYA DADY :
mwanza
2026-08-13 02:36:08
1
cradle christian :
napenda sana hapo mim huon hata mtikisiko wamaji ni talatibu
2026-07-26 15:16:56
1
official mnyamwez o :
kwetu huko 🤣🤣🤣
2026-08-08 12:01:16
1
King Mfaume Photographer 📸📸 :
Kyulu😂
2026-07-27 00:13:44
1
B_bunju :
😁😁😁😁
2026-07-21 05:55:20
1
Benard Jacobo :
🥰🥰🥰
2026-08-15 04:28:55
0
To see more videos from user @frankfrankjoseph, please go to the Tikwm
homepage.