mhhh ila hilo jani ajabu yake haliliwi na mnyama yyt unajua hilo
2026-07-21 04:30:05
10
Volumdee :
pia inatibu tonses
2026-07-21 05:43:12
10
mwenzeguleirene :
naupata wapi?
2026-07-21 06:45:13
1
wolper mdogo :
je period inayochelewa na ikija inakuja mfululizo hata miezi mitano?
2026-07-20 21:18:09
4
Realymarty :
[Sticker] mmenikumbusha tukiwa watoto ukifanya kosa wachuna majani waeka mfuko tuliambiwa ni mvunja case na ulikua wafanya😂 kazi ukifika nyumbani kama umefanya kosa huchapwi😂
2026-07-21 10:35:43
5
joo :
dawa ya fagasi ya miguu naomba
2026-07-21 08:08:45
1
josafi4 :
naombeni dawa ya kitibu vinyama vinavyoota kwenye sikio mtu akitoboa sikio vile vinyama vinavootaga plz
2026-07-21 09:04:01
0
Jane ivan🌹🌹 :
kaka naomba unisaidie baba angu anasumbuliwa na miguu kupooza
2026-07-21 04:54:01
1
Fatherbishop✝️☦️ :
kaka vipi kuhusu chembe ya moyo
2026-07-21 11:32:21
3
george_kim :
samahani bro nasumbuliwa na bega mwaka wa pili huu dawa za kuchukua nimetumia sana
2026-07-20 17:40:39
0
🦋🦋lizzy :
kaka naomba dawa yamtu anayesumbuliwa na kifua,akipigwa naupepo tu anakohoa sana 🙏🙏
2026-07-20 19:13:32
0
Geeg :
king of herbs ndo kishona nguo(mmea) au ni vitu viwili tofauti??
2026-07-21 08:20:54
0
Tuti🎀 :
jamn dawa ya chango🙌 cjui mchango naomba nisaidie alf uni tag 🙏
2026-07-20 18:01:26
2
charming girly :
uwo ni mshona nguo au
2026-07-21 08:25:51
1
Happy ELias :
usisahau mafua
2026-07-21 10:10:11
1
SAIMON MIRUMBE :
Samahani Dr naomba unisaidie dawa ya pingili za mgingo zilizo achia🙏🙏
2026-07-21 17:43:15
0
elvian ludovick :
hiyo inaitwa katabe
2026-07-21 17:50:17
0
SADIYA LIVING :
kweli king
2026-07-20 16:22:46
0
user6131449929595salim :
vidonda vyandomon pia unatibu
2026-07-21 18:40:50
0
📌 :
Bukoba tunauita Mwigala
2026-07-21 20:41:25
1
asier ramie :
Dawa ya chango kwa mtoto jmn
2026-07-21 22:50:06
0
Julitha Pastory :
unatibu uzazi kama uzai
2026-07-22 11:52:14
0
precious light🌹♥️ :
imejaaaa
2026-07-22 21:29:54
0
Zawadi Chami :
mafuuna
2026-07-21 21:08:20
0
ᥫ᭡Theddyᥫ᭡ :
Naomba kujua kama kuna dawa ya kutibu ganglion cyst kwa mimea
2026-07-20 18:43:44
0
To see more videos from user @vigourhealth, please go to the Tikwm
homepage.