Wala hujatapeliwa Dada mana ulitoa kwa moyo hv malipo yako yapo kwa Allaah
2026-07-20 14:51:13
35
SMART MONEY WOMEN :
mimi bado ninamoyo kama wako sikomagi mume wangu ananichekaga🤣🤣🤣
2026-07-21 04:42:31
4
mwajumaissa743 :
uyo anaepajua ndo alikuwa anakupiga
2026-07-20 16:46:12
6
hunaina :
Allah atakulipa kheir.... ila hawa matapeli jaman... wanafanya wenzao walio na shida kwelikweli wasisaidiwe... usipoteze moyo Allah anaona...
2026-07-20 15:53:24
6
Jamila :
milion ya tanzania au uganda??
2026-07-20 19:32:00
6
thauramohamed :
malipo kwa mungu mke wangu
2026-07-21 03:54:35
1
Mrs.Hamid❤️ :
Mimi mwenye alikuja Madada mjamzito nyumbani kwangu akakutana. Namume wangu aka Mwambie hivyohivyo tukamsaidia vifaa vyote Kajifungua sasa anakuja kwa wiki Mara 2 kuomba hela za matumizi jamani mwisho watatupatisha zambi sazingine mtu unakuwa huna hela unaweza kumjibu vibaya turizike natunacho saidiwa
2026-07-21 05:41:45
0
madame v :
Naomba hiyo nguo uliyovaa dada nimeipenda sana jamani
2026-07-20 19:22:56
2
user2949440827147 :
Allah akulipe kheri nyingi sana naswiat wala usikate tamaa, hujapoteza Allah atakupa rizki nyingi kwa moyo wako mzuri
2026-07-20 17:31:49
3
GladnessMangowi :
yani mimi kilinilamba live kwa huruma yangu
2026-07-21 03:16:46
0
N.G PERFUMES AND COSMETICS🌸 :
Pole dada🥹
2026-07-20 16:36:32
1
@Sirumuhermec :
aaah mamkwee jmn polee
2026-07-20 19:07:42
1
ndo kwetu ndo hom :
Pole tyu Dada nibora tyu hawaja kuteka my
2026-07-20 17:29:34
1
Double tee :
Binadam tunajihalibia wenyewe
2026-07-20 19:31:35
1
Blessing :
nataman ingekua na pa kurekodi
2026-07-20 21:16:03
0
255 mom🤱 :
iyo cm aloyokuwa anakupgia nayo c angeuza akamnunulia mtoto nguo
2026-07-20 16:11:59
1
giftjulius59 :
dada bora uje kwetu kisevule usaidie ujenz wa madrassa mkiti tayali
2026-07-20 19:39:39
1
Grace Charles :
dada hata usijari mungu ataripa hapahapa duniani
2026-07-20 18:26:57
1
mrsbaqir4050 :
scrub pmj na sabun bei gn kipenz
2026-07-20 16:29:29
1
Brenda brendan :
Ujatapeliwa kipenzi mungu yupo
2026-07-21 06:54:12
0
suleimanmohd425 :
Pole sana dada
2026-07-21 06:44:43
0
To see more videos from user @naswiatbremboog, please go to the Tikwm
homepage.