@bui.fast.cargo:

Bui Fast Cargo
Bui Fast Cargo
Open In TikTok:
Region: AE
Monday 20 July 2026 14:54:47 GMT
445557
38811
1334
1011

Music

Download

Comments

user86054035077913
Tumfra :
jaman tuliotaman huo msos tuko wangap 🤣🤣
2026-07-21 04:41:38
1151
user2704799864030
mis mk🥰 :
Mimi wanikera Sana samaki huli umekazania tembele tu 😂😂😂😂😂
2026-07-21 05:14:46
482
fetty2535
Kiduchu🇹🇿 :
Bia aisha ana wow o wowo
2026-07-21 10:11:40
2
user738853977405
jingjing🔵 :
usiamini mitandao pengine Samaki ni wakesho..
2026-07-21 17:32:33
155
azida.abdul.msofe
azida Abdul Msofe :
😳😳babu ugali mate yamenishuka kwenye tembele ukija oman tuletee
2026-07-20 17:53:46
250
jeremiahlemah
j lema :
dotto angekuwa anajuaa kingerezaa angetuuwaa
2026-07-20 19:48:42
230
user3883126652380
pemasiboy ♥️ :
usiguse samaki samaki za camera men📸 🤣🤣🤣
2026-07-22 12:02:42
0
bencarter61
BenCarter :
Msalimie shangazi aliyepeleka maji jikoni
2026-07-20 16:29:45
143
backbone390
BACKbone :
ina lilah ina lajun HII MPYAA
2026-07-21 03:59:07
65
agaowajouniar
agaowajouniar :
wote unavailable ww
2026-07-21 12:18:39
2
vastory.mosaics.m
Van_vastory 16 :
sakonolojia😅😅😅😅
2026-07-20 18:20:50
79
frenc.tz
Frenc tz :
saikonolojia ndo nini tena 😁
2026-07-20 20:29:52
60
user2307408171432
zinjathropas :
sekonologia?
2026-07-21 20:12:47
3
khalil.haji6
Khalil Haji :
Wabongo Tuna Ulimbukeni kwa kila Sekta. Hebu tuwaangalie Wazanzibar huwakuti kujisifia na mambo ya kupita. Wabongo sisi ni Washamba kwa Simu, kwa magari, kwa kuvaa, kwa kula mana miaka 20 iliyopita hatuna tulichojua kula zaidi ya Sembe. Utamaduni wa kula Wali na Visinia na urojo kariakoo walitufundisha wao. Labda kuongea sana ndo tunalolijua. Tuache ulimbukeni. Bado tu hatujazoea mambo mapya tuu.
2026-07-21 09:46:44
13
askof.ponela
othman maalim🇹🇿 :
😅😅😅wasomi haiiiiiiiii
2026-07-21 04:16:58
2
mcdayamoh
Mc Dayamoh :
napenda jinsi unavyosoma comments kimya kimya huku ukitabasamu🥰😁😂😂 je, tunaweza kuwa marafiki..???😂😂 Mungu na akubariki 🙏🙏🙏🙏
2026-07-21 13:14:38
8
irenedigna
Irenedigna :
Tunaoangalia hii video tukiwa na njaa tujuane
2026-07-21 13:19:36
7
shambamtwe1
ShambaMtwe :
sakonolojia au nmesikia vibaya
2026-07-21 06:47:39
7
001eagle8
SUPER WOMEN ❤️ 💪 :
jmn mm adi nasikia arufu 😳
2026-07-21 05:32:40
8
firstborn349
firstborn349 :
sema anasema ukweli lakini
2026-07-20 20:41:38
28
manyindauser2
Manyinda manka :
Hapo kwenye tiv siwezi washa nimependa watoto wapo shule tupo wengi😁
2026-07-21 10:16:07
11
annie69812
annie🦋💝 :
kwamba kuwasha TV huwez hadi watoto watoke shule🤣🤣🤣
2026-07-21 10:58:27
5
26_tmm
@TMM_26☠️ :
sekonolojia wasomi hii😁🙌
2026-07-21 06:04:43
8
To see more videos from user @bui.fast.cargo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About