@kidu_works: Mitandaoni kumekuwa na madai kwamba mtoto wa Cristiano Ronaldo anaweza kuwakilisha Ureno, Marekani, Uhispania, England na Cabo Verde. Lakini je, sheria za uraia za nchi hizo pamoja na kanuni za FIFA zinasemaje? Ni mataifa mangapi kweli anayastahili kwa sasa, na yapi ni stori tu? Kwenye video hii nimechambua kila kitu kwa ushahidi wa kisheria na kueleza kwa nini baadhi ya taarifa zinazosambaa zinaweza kuwa si sahihi. 🎥 Tazama video hadi mwisho ujue ukweli wote. ________________ Tufuatilie kwenye page zetu za Mitandao ya kijamii @byteview_tz lakini pia 🔴 Youtube yetu BYTEVIEW TZ kupata habari motomoto ________________ #ByteView #viral #reels #trending #updates