nikupe mbinu wakala ,mjulishe mteja kuwa athibitishe muamala kabla ya kutoka ofisini kwako.
2026-07-21 05:42:15
29
April 24 🇹🇿🇵🇹 :
ushauri ni kwamba Kila siku uwe na daftar uwe unaandika miamala yote ya simu namba,jina kiasi
2026-07-21 14:52:11
8
yuyu♈ :
Yaani siku4 halafu urudi nikusikilize no thank you yaan siku ni moja tu ikipita sikusikilizi my dear 😂😂😂😂😂
2026-07-21 14:10:05
5
Nelly Munis :
we usifute sms za miamala na ukifuta futa za zamani ,cku 4 hazijafika alikua wapi
2026-07-23 05:20:25
2
bety🌹 :
Yan Cha kufany mteja akirud hakuna kutuma ela ten
2026-07-21 13:19:19
5
family :
hakikisha unaandikisha wateja wako kwenye kitabu mnachopewa
2026-07-21 10:45:28
7
sympathetic :
mteja anatakiwa ahakiki muamala kabla hajatokaa kwa wakala,akiludi siku nyingine uwo muamala hausikii naooo
na endapo akisema alituma kwa mtu sheria aziruhusu kumtumia pesa mteja wa mbali kwahyo ni kosa lake ,hairidi elaa
kifupi huduma ya wakala na mteja inafanywa mkiwa mnaonana na mnamalizana hapo hapo akienda na kuludi iyo ni biashara nyingine ile ya mwanzo mshamalizana
2026-07-21 13:52:35
1
Viola Assey :
Mimi labda utudi kesho yake au siku hiyo lasivyo utanisamehe nakama hela haikwenda kweli nikifunga esabu ikizidi nawekaga pembeni
2026-07-21 14:35:01
3
Ms Bee🌹 :
Si kuna vitabu vya rekodi za miamala? Vitumieni
2026-07-21 17:51:42
0
Emmy Katamwa :
Kwanza mm nafunga hesabu kila cku hela ikizid naweka pembeni na kingine nimetuma hela mteja akae cku zaidi ya moja na pesa yangu ipo sawa tutasamehana na hyo mteja sipigi cm hata huko mtandaoni
2026-07-21 17:47:14
3
baba Brian :
Wakala usitumie mtu hela, mwekee hela mteja uliye naye counter.
Kutuma hela ni kosa na risk kwako. Kuweka hela ndo jukumu lako, siyo Kutuma.
2026-07-21 21:42:49
1
my :
ishanikuta ila kamer inasaidia jaman mawakala fungeni kamera
2026-07-21 14:03:59
1
Kenan :
Vile Vitabu vya muhimu sana sema tunapuuza
2026-07-21 12:50:16
4
Potfary Ngilangwa :
siku 4? unamsikiliza vipi?
2026-07-22 06:33:02
3
Kanti Creative AI :
rule namba moja -- usipige simu huduma kwa wateja
rule namba mbili-- mkatae mteja mwambie sikukumbuki nenda na huo msimamo hadi mwisho
2026-07-24 09:04:02
1
abby girl :
situmag ela ya ivyo
2026-07-21 12:52:48
2
medicine Tz :
Njia rahisi ni kumwambia mtu aondoke, kwa sababu hiyo kila siku wakala lazima ufunge Hesabu, Kama Kuna hela imezidi utaona siku husika uliyofunga Hesabu, so hiyo itakuhakikishia kwamba haudaiwi wala haumdai mtu hela yoyote... I think naeleweka
2026-07-22 15:53:04
1
Mwanahamisi Msekeni :
muhimu asubiri message tu la sivyo asirudi sitomuelewa
2026-07-22 09:11:32
1
-hunna-🌸🫧 :
Weee mi nawakataaaga hata kama namkumbuka ila nina uhakika nilimuudumia na akakubali jina namwambia simjui kuepuka mambo mengi huwa wanatabia za kubadilisha number 😂🙌🏾
2026-07-21 17:27:30
2
Marjorie🥰 :
Mwingine hata kuja hajaja ila anakulazimisha jana alikuja hela haijafika tena wanapenda kutaja mtandao wa Airtel
2026-07-22 09:30:08
1
Teddy Swai :
cha muhimu n kua na record ya miamala ya wateja wako hakikisha Kila mteja unayemudumia andika n Kias gan naomba yake ya simu pamoja na Kias inasaidia
2026-07-22 05:52:34
1
SAMMYYYYY :
fungeni mahesabu asubuhi na jioni mbona iyo inajulikan
2026-07-21 12:50:00
1
Sajidath Eye's :
michezo hyo imenipotezea wateja na wezi pia, mtu akija naangalia camera kipande alichonipa pesa na alivyotaja namba na jina namuonesha
wengine wanasonya hawarud, mwingine alinambia nilikosea itakuwa bas nilituma kwa wakala mwingine, mwingine anaomba samahan kwa kuzuga
kazi ipo mbona mawakala tunanyooka
2026-07-21 15:52:27
4
Happy Swai343 :
🤣🤣🤣 weeeh ukiondoka umeondoka na hela yangu ukirudi hatujuan
2026-07-21 12:19:06
3
Ezooasilimae :
Aisee umeongea kitu kikubwa sanaaaaa yani inabidi sa hv mimi na mteja tuwe tunahakikisha na hilo jambo lishanitokea sema pesa ndogongogo wengine naiona miamala wengine inabidi nitume hamna namna sababu umeshawapigia huduma kwa wateja wanakwambia mteja huyo haukumuhudumia japo mm huwa na muda mwengine namwambia mteja njoo kesho nikishapiga mahesabu pesa ikizidi naitoa na ile aliyosema nimemtumia kama haiendani sitoi pesa.
2026-07-21 11:50:58
3
To see more videos from user @kizzygal6, please go to the Tikwm
homepage.