hio book haina hizo issue usemazo..it talks about power and Leadership.hakuna mambo ya wanawake hapo wala mambo na kula.
2026-07-20 18:34:45
121
Baraka E Muganyizi :
No BIG NO..... Nimekisoma the best book to see the power and to have it
2026-07-21 14:05:25
0
LORENZO :
1.DARK PSYCHOLOGY OF MANIPULATION
2.48 laws of power
2026-07-21 11:17:38
4
ms.slidefit :
But yeah so true
2026-07-21 11:50:48
0
Bazenga :
Great book per say. Pose as a friend, Work as a spy
2026-07-20 19:59:54
7
Mpella EduTech Ⓜ️ :
Tunadanganyana vitabu haviwezi kumfanya mtu awe na Power. Pambana Tafuta hela, Power, furaha na kila kitu kitakuja chenyew
2026-07-21 07:20:27
24
Chandy Electronics :
never outshine the master
2026-07-20 18:28:35
28
KingFasechi :
Never put too much trust in friend, Learn how to use Enemies ✅️
2026-07-20 19:55:05
26
Annie🥰🌍📌 :
Nimeaomaaa Mabala The farmer 🧑🌾
2026-07-21 07:54:46
2
raregem :
That’s great book
2026-07-20 21:06:26
1
👸♾️ :
Always say less than necessary 👌
2026-07-21 07:42:18
2
Mc Willehard 0764 24 28 25 :
Yaani anavyoelezea kwenye hiki kitabu hakuna. Nimekisoma chote zaidi ya mara tatu HAKUNA HIVYO VITU ANASEMA
2026-07-20 20:50:09
36
Mageme Lugayila :
kunakitabu kinaitwa "DARK PSYCHOLOGY OF MANIPULATION"
2026-07-20 20:53:23
26
Jihadhary Kit :
oh some time mbkjuuytrefccxd
2026-07-20 19:21:47
0
Makarius :
nimekuwa mtu wa hatari afu nikaongeza na The power of your subconscious mind
2026-07-20 18:36:16
58
Dossantoc :
•Ngoswe na Mazoea wanapanga kutoroka pamoja kwenda mjini.
• Wakati wa kutoroka, Ngoswe anasahau mkoba wake wenye takwimu za sensa.
• Baba ya Mazoea (Mzee Mitomingi), kwa hasira, anachoma moto makaratasi hayo, na kusababisha hasara kubwa kwa zoezi la serika
2026-07-20 19:42:16
5
an :
nilikua na hiki kitab na sijawah kisoma
2026-07-20 18:26:25
34
ms.5dee3 :
Jamani tusome 😂😂
2026-07-20 19:40:01
18
sophia waziri :
ngoswe imenifanya nipete mimba mapema 😂
2026-07-20 19:31:31
12
Datty Melody :
natamani nikisome sema ndy hivyo sijui kizungu 😂😂
2026-07-20 20:16:14
10
becky__divah❤️ :
Nywelee yake inaitwaje jmn
2026-07-20 18:52:45
14
Hango Mohamedi :
Kutumia sheria hizi kujilinda usitumiwe au kudanganywa na watu wengine, na kuelewa jinsi siasa za maisha na kazini zinavyofanya kazi.
1. Udhibiti wa Maneno na Siri: Ongea kidogo kuliko inavyotakiwa. Ficha mipango yako na acha matokeo yako yajieleze badala ya mabishano.
2. Udhibiti wa Hisia: Usiruhusu hasira, papara, au wivu vikuendeshe. Mtu anayeweza kukukasirisha ndiye anayekutawala.
3. Heshima na Jina Lako (Reputation): Heshima yako ndicho chombo chako kikubwa zaidi cha nguvu—ilinde kwa gharama yoyote.
4. Uelewa wa Saikolojia ya Watu: Jua unayeshughulika naye. Mfano: Usijaribu kuonyesha uwezo mkubwa kiasi cha kumfanya bosi wako ajione hana thamani (Sheria ya 1).
5. Unyambulifu (Adaptability): Kuwa tayari kubadilika kulingana na mazingira; usishikilie mfumo mmoja ulioganda.
2026-07-20 19:39:37
15
To see more videos from user @cloudsmedia, please go to the Tikwm
homepage.