jamani mimi nisha soma vitabu vingi ila mwisho nikawa mjinga ila nipo ruhusu asili kunifundisha kunamengi nimepata kiasi hata nikizungumza naulizwa umejifunza wapi hivyo vitu mwingine anakuliza umesoma kitabu gani .kwaiyo mimi kwa ushauri wangu tujitahidi kuwa waelewa na wachambuzi na si kukariri na kukumbuka ulicho soma
2026-07-20 19:54:26
18
boyToronto_47 :
Shoutout to you Jackie
2026-07-20 19:00:05
15
user9716108168010 :
ila jack et mtu akiwa hakupend we unampenda sio chemistry labda itakuwa physics
2026-07-20 22:40:07
6
Mfupa Fwany :
za kuambiwa 😅..............,..........
2026-07-21 03:06:40
5
🌹Miss Leen🫦🦋🖤 :
Hiki kichwa🥰nakikubali sana
2026-07-20 23:45:42
10
C5H10 :
kwan huyu mdada anaitwa nan??
2026-07-21 13:54:38
0
johnnyjoh :
jaman akina john sisi tupew dunia yetu
2026-07-20 20:27:14
6
mr sports :
John 😂😂😂
2026-07-20 21:14:58
2
Ngonifaceless channel :
Mhubiri 12:12
Zaidi ya hayo, mwanangu, jihadhari! Kuandika vitabu hakuna mwisho na kusoma kwingi huchokesha mwili.
2026-07-21 03:31:38
4
PIDDE_iStoRe📞HuB. :
Mimi kama john nmeamua kuish kama jonas the polygamist 😂😂😂
2026-07-21 06:58:42
1
Eliabu Munyugu :
Unaweza kuwa na soulmate. Isipokuwa tu anatengenezwa. naomba interview na huyu dada angu. Akasome kitabu changu pia cha THE SOULMATE
2026-07-21 06:31:08
2
John Shayo 🇹🇿 :
John nlikua nmetulia tuu…
2026-07-20 21:53:22
3
Jo_nathan_amon :
Yeremia 2:11, 13 (Biblia Takatifu) Je! Taifa wamebadili miungu yao, ingawa siyo miungu? Lakini watu wangu wameubadili utukufu wao kwa ajili ya kitu kisichofaidia. Kwa maana watu wangu hawa wametenda maovu mawili; wameniacha mimi, niliye chemchemi ya maji ya uzima, wamejichimbia mabirika, mabirika yavujayo, yasiyoweza kuweka maji.
2026-07-20 20:20:46
5
realsanho :
anazunguka dada huwezi mpenda mtu mmoja tu
2026-07-20 23:05:05
1
Madrid&mancityfan+255 :
soulmate wa 5 ehee mm sina ata mmoja kubabake 😂😂😂😂
2026-07-21 06:40:51
1
official_annie$$ :
nimekisoma na mimi sis❤️
2026-07-20 22:30:52
1
lalaga marley :
t.o wa st anne
2026-07-20 21:42:04
1
dpm bin elizabeth :
mm nahs Kam yupo ajifunze kuvumilia usaliti, siwez kufa na presha Kwa ajiri ya mtu mmoja na wanawake wapo mamia Kwa mwanaume mmoja
2026-07-20 22:32:08
1
Darch kidoti :
Mimi nimempenda huyu mdada Tena nimempenda na nusu 🥰
2026-07-20 20:12:05
1
Broka Discount Center :
Nauza tv 😅
2026-07-20 20:11:47
1
To see more videos from user @cloudsmedia, please go to the Tikwm
homepage.