@taimediatz: Mfanyabiashara wa urembo wa nywele , Shuu Salon, aeleza sababu ya kumwambia kila mwanaume aliyenaye kwenye mahusiano kuwa mimba ni ya kwake. ✍🏿 @mariamshabanitz #taimediatz #taimediatv
taimediatz
Region: TZ
Monday 20 July 2026 15:42:10 GMT
Music
Download
Comments
gizzy_tz :
Celebrities need to have good people around them wawashauri jaman what none sense is this?
2026-07-21 13:50:27
0
Apple User758742 :
Kikao kinachofata utakua mwenyekiti shuu😂
2026-07-20 18:58:12
87
💸BOSS LADY 💸 :
Mm nae siri zangu nitakufa nazo😂
2026-07-21 13:17:19
22
Ray beauty saloon :
Shuu Hana tofauti na mimi 😂😂😂😂
2026-07-20 20:27:30
48
Lalina23 :
Kuna siri hata nilipuliwe bomu siwezi kuzisema 😂
2026-07-21 18:49:54
6
FIDE PAMBAKALI :
Kunauwezekano mkubwa sana wanaume tunalea watoto sio wetu tunatakiwa kuwa makin sana na wanawake
2026-07-21 07:24:11
6
Vicky Dastan :
sasa kwann unaelezea hapo jaman
2026-07-21 11:02:59
1
Nunu Cosmetics :
Shuu Ali mix by yash nimemuelewa
2026-07-20 21:50:32
9
jenipher joseph :
sasa mbona unatoa siri zetu should jaman
2026-07-21 03:15:50
7
Lucy :
nimekupenda dada😆😆
2026-07-20 18:04:09
5
Mohameditz :
hii media nayo haipo sawa
2026-07-21 08:17:44
3
Bitte🍏 :
SHUU MAMA🙌
2026-07-21 12:24:46
2
$p♡nsa.583 :
jina l mtoto ktumia jina la nani !?
2026-07-21 00:51:20
3
FIDE PAMBAKALI :
Baba levo njoo tusaidie
2026-07-21 03:19:34
7
Denzleproducts :
Ila wanawake sisi 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
2026-07-20 16:33:05
17
Binti yake mama♓️ :
Mimi maelezo ya shuu kwakweli😭🙌🏼
2026-07-21 12:46:42
0
Natashear :
😂😂😂Sijui kwann nacheka
2026-07-21 08:05:55
2
Sizaty Muh :
Yan shuu ni mm kabisa 😁😁🤣
2026-07-21 07:32:40
2
AgentX :
😂😂😂😂sawa
2026-07-21 06:53:15
0
user2309805297652 :
Doooh hii hatari
2026-07-20 20:13:09
1
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.