@uislamudiniyetu: KUNA WATU WAKISIKIA HAYA MANENO WANAUMIA SANA.SHEIKH ABUL FADHL KASSIM MAFUTA ALLAH AMUHIFADHI NDIYE AMBAYE ALILETA DACWA SALAFIYA ZANZIBAR
sheikh assalamualaikum natamani sana kujifunza daawat salafiyah lakini sijui nianzie wapi mimi naishi dodoma
2026-07-21 06:23:25
4
Abuuarqam :
Allah amuhifadhi shekh wetu Abul fadhil Kasim Mafuta Kasim
2026-07-21 17:46:23
3
Abuumuadh16 :
sio kwel ayo maneno
2026-07-21 05:38:35
0
Abuu Maryam Ramadhani salafiy :
Allah amhifadhi Sheikh Qaasim mafuta
2026-07-22 11:41:59
1
Pavillion Cry :
saiv kaungana na JAI sio
kawa ikhwani. ANAWATETEA IKHWAN
YALE WANAYOYASEMA KINA SHAFII NA AKIDU HAMUYAONI SIO
2026-07-24 08:12:22
0
Mambo sasa :
Allah amsameh makosa yake sheykh wetu
2026-07-21 14:02:26
1
عمر الأهدل :
Yamaanisha salafiya imezuka hii ni dalili tosha dini ilikuja 2007 na kabla ya hapo wanazuoni wote walikua hawajui dini?
2026-07-21 07:46:48
0
abuu salim :
allah arehem shekh wetu
2026-07-21 14:35:11
0
زين العابدين علي بن الحسين :
Allah Assamese makosa yake na amhurumie amuingize peponi
2026-07-20 17:21:19
3
Khadija Ayubu :
allaah amhifadh na kumkinga na kila aina ya sharri na mabalaa na hasad shekh wetu
Alhadulillah
2026-07-23 19:46:15
0
Al~mck :
Allah amuhifadhi sheikh wetu abulfadhl shekh kasim
2026-07-23 15:46:34
0
Abuu Neynah :
Hii sio sauti ya Sheikh Kasimu Mafuta
2026-07-22 06:10:02
0
ABUU SAHIL :
Wallah taarifa ya kifo cha Mwalimu wetu mpendwa Allah amrehemu na ampe kaulthabit .
tulio mbali na miji yetu wallah tumeumia sana
2026-07-21 07:40:51
0
ABUL FAW :
masalafi sio wailamu shia ndio uislamu sshihi hoja za kuudhaufisha ushia sio vitabu vya wazuoni wao bali ni Quran na hadithi sahihi wapinzani wa ushia utawasikia hoja zao ni vitabu vya mashia nasio sahihi
2026-07-21 08:08:16
0
mdutch :
imepata nguvu kwa pesa wanayilopwa wakubwa ili hawanasishe
2026-07-21 09:11:37
0
To see more videos from user @uislamudiniyetu, please go to the Tikwm
homepage.