Kaka samahan mm simu yang nikiweka bando kuna apps nikifungua kama TikTok na Facebook zinaniambia TikTok ama Facebook not respond the temperature is high shida itakuw n nn
2026-07-20 20:07:35
0
Lazaro Laizer :
Brother kwema?. Samahani unapatikana maeneo gani?.( ninamaanisha ofisi yako ilipo.)
2026-07-22 06:52:03
0
Mpenda kheri :
Shida yako bro unatuonyesha simu ya aina moja tu huonyeshi zote