😃😃WAKACHUKUE kwa kweli,,Kila mtu na shughuli yake🤣🤣🤣
2026-07-20 16:37:58
221
jesca :
😅😂😂 kwishaaaa
2026-07-21 14:43:53
1
Benny. 45tz :
Saiz Facebook kila mtu anaomba asafishiwe picha mpaka inakera😪😪
2026-07-20 18:08:17
171
zeddy💕♌️ :
10/10
2026-07-20 18:54:27
13
Infinitybeatz :
Teeeeteemeeeteteeemeeee..😁😁
2026-07-21 15:54:31
0
Richard Emmanuel :
Leo kaogea point mam mgwani😂😂
2026-07-21 16:31:59
0
@richael23 :
salome kauramba leo🤣🤣
2026-07-21 19:28:53
0
nay ney paul bint pastor :
ata kama life lipoje we cheka t mbn salome anacheka penda shana wew
2026-07-21 12:05:24
8
kassimcm1 :
😂my love salome 🥰
2026-07-20 20:25:15
3
Albert :
7/7
2026-07-20 18:59:45
7
H🤎 :
2026-07-20 18:39:40
18
joycejonathan :
heeeee wewe ntarejesha vipi
2026-07-20 18:32:49
15
Madam nobody❤️🔥 :
Mama salome yupo nje ya mda😁
2026-07-21 07:32:08
7
applekente :
Ila salome saizi mwili unakuja na anapendeza hongera kaka
2026-07-21 07:53:23
9
Cathe⚜️ :
10/10njoo
2026-07-20 19:50:07
6
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Ila mshauri et uwezi ukalalamika😂😂
2026-07-20 21:22:14
5
son of habakuki :
kazi ya rascal imetukuka nakumbuka alikuwa anaogopa camera na wengine walimuone kama chizi. usimdharau mtu hata siku moja one sasa leo hii amekuwa furaha ya wengi. Mwenyezi Mungu ni mwema sana unapojikuta umeshindwa na umechoka kabisaa ndipo anamtuma malaria wake kuja kukunusuru.
2026-07-21 00:06:38
29
jane cute :
uwo ushaur siutak😂😁
2026-07-20 19:11:22
19
asia :
kwakweli rasco umeweza tena umewezatenaa salome amependezaa
2026-07-21 07:42:48
10
Martha Isayah :
ila mama mgwani nampenda mie😂😂
2026-07-20 19:19:53
7
guery guer :
ayaa kila mtu na maish yake njoo uchukuwe 50/50
2026-07-21 07:21:36
6
Madamee :
watu wa mikopo mkachukue tena!
2026-07-20 20:17:16
17
To see more videos from user @rascol_medy, please go to the Tikwm
homepage.