@minahgifty: Wifi dondaaaa unaeee kama unae mtag hapo chini😂👌#goviral #fyp #minahgifty

minahgifty and decoration
minahgifty and decoration
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 20 July 2026 16:29:40 GMT
64448
2326
246
664

Music

Download

Comments

michykorganic
michyk :
tuna wawifi to face😅
2026-07-21 11:18:56
1
tumalishazzy
tumalishazzy :
nnae wifi fifi❤️
2026-07-21 11:25:10
0
mariamsarai562
Mrs. Muthoka :
wangu wote hawaniongeleshi na sijali bora nalala na kaka yao🤣🤣🤣
2026-07-21 16:15:33
26
hisqueen6762
💝HisQueen💝 :
Wangu nikushindana na mimi tu😏😅
2026-07-21 10:12:49
20
bintmeruofficial
bintmeruofficial :
Mhh sjui nichekeeee wasikieee🤣🤣🤣
2026-07-21 14:22:34
0
jasmine.joe67
jasmine Joe💜💜 :
mshanigombanisha na wifi yangu😂😂
2026-07-21 08:57:05
23
sisson15
Hiderally🍒🇧🇭🇰🇪 :
😂😂😂😂😂😂😂wifi zangu kazi nikuniita fisadi tu😂
2026-07-21 12:14:33
5
fau_africa1
Fausta_+255🇹🇿❤️ :
Me na wifi angu hatusalimiani kila mtu jeuri 😂😂😂💔
2026-07-21 17:59:18
5
zash_bakes1
Zash_bakes $ Cake Tools :
Mungu atupeeee na sisiiii ma wifiiiiii 🤣
2026-07-21 09:38:07
8
kimwanyaruti
Kimwanya ruti🍯 :
Bei
2026-07-21 07:47:09
3
ruuh2312
official ruuh :
Me nna Wif Gubu wallah
2026-07-21 13:49:00
1
a7658574v5g
a7658574v5g :
ishi nao uwajue tabia zao
2026-07-21 14:50:21
7
najmasalmusalmuna
Najma salmu Salmu Najma :
sio kwa mzanzbr gubu ad nlimblock🤣🤣🤣
2026-07-22 07:04:00
0
mamabissness
Fatma@ BIRYAN TAMTAM :
nimeipenda wallah napa uwa na iyo saa apo kama vilivyo ...nimsaprise wifi angu september 🥰
2026-07-21 16:33:25
0
momraniaormommiran
PRETTY HUSNA💫💫 :
Mmh wengine tuishie kuguna t maan😁😁😂
2026-07-21 11:30:27
5
madrin115
Mamu💕❤️ :
😂doo mung nipe kam huy
2026-07-22 05:07:09
1
dan_u_gifts
𝐇𝐚𝐟𝐬𝐚’𝐬 𝐃𝐚𝐧-𝐔-gift🎁 :
Mwizi wangu uko wapi unaitwa huku😂
2026-07-20 19:19:07
6
mrs......21
🇧🇬mrs......💫💞 :
nnae wagubu tu kila siku anataka umpe vitu vipya apendelewe yeye utafikiria tunatft pesa shirika au utfkry kaka ake ananipa pesa zote.🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-21 17:09:25
0
meyou2781
me&you :
alhamdulilah ninao🥰
2026-07-21 17:17:23
2
azizakessymohamed
mrs ochu💕💞 :
mungu awabariki mawifi zangu ni watu wazuri sana
2026-07-21 12:12:39
1
zubbyhayati1
zubby queen :
😂😂😂😂 wakwangu ni unafki 2
2026-07-22 15:15:45
0
sfabh
SFABH :
sina mie wifi wa hivi🤣🤣🤣
2026-07-22 12:39:48
0
mamuu.mamuu2
Achieng'☀️Chogo🥰 :
Me wifi yangu na muambia nimezama kwa kakake na wakunitoa akuna labda nitake mm
2026-07-22 15:46:18
0
chama12332
cute chama❤🦋 :
saa bei gn kupambiwa upo ktk kopa kipenz🥰
2026-07-22 15:29:09
0
To see more videos from user @minahgifty, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About