@azoretechtz: Mchawi ni Data! 😂 Ushawahi kufika place ngeni, haujui njia, then ukicheki phone unakuta BANDO LIMEISHA? Don't stress! 🚫📶 Hivi ndio jinsi ya kutumia Google Maps BURE kabisa bila Data wala Wi-Fi! 📱⚡ Quick Steps: 1️⃣ Open Google Maps ➡️ Profile Icon 2️⃣ Offline Maps ➡️ Select Your Own Map 3️⃣ Adjust area yako (e.g. Dodoma) ➡️ Download! Tayari! Unaeza navigate ata phone ikiwa Airplane Mode! ✈️📍 📌 SAVE video hii isikupotee, na SHARE na mshkaji wako anayepotea njia! Hivi ulikuwa unaijua hii or ndio unaiona leo? Comment below! 👇 #techtipstanzania #googlemapstanzania #dodomatech #azoretechtz
@aghaash!!:je nawezaje kurudisha account ya google account ikiwa namba niliyosajilia haitumiki kwangu bali inatumiwa na mtu mwingine ambaye alisajidiea baada ya Mimi kuto kunitumia laini hiyo Kwa muda mrefu? na nilipo jaribu kumuomba code baada ya kujaribu kurudisha, mtu huyo alikataa akihisi Mimi ni tapeli na Kwa sasa nikiingia kurudisha account google inaniambia something went wrong try again later
2026-07-26 02:42:06
0
kweji :
2026-07-20 22:55:26
0
ENTIAGO ACCESSORIES STORE :
kwa wale tunakua sehemu zenye mtandao hafiku hii inafaa sana🔥🔥
2026-08-25 09:34:08
0
gene.001x :
asa mbona siyo ile ya satellite 😂
2026-09-08 20:15:40
0
wizrobby 🌟🌟🌟 :
alafu
2026-07-21 15:24:47
0
Capt Justine 🇹🇿 :
sorry boss naomba kuuliza ..hivi CLEMENT MZIZE ni ndugu Yako🤔
2026-07-21 21:09:00
0
SEIFF :
😁😁
2026-07-20 19:43:08
0
To see more videos from user @azoretechtz, please go to the Tikwm
homepage.