apo shehe sio kwel mm spend kumtazama mt tukiongea wal mm spend mt anitimbulie macho atakam skujui
2026-07-20 20:46:55
12
binty yussuf :
sijaliamini hili mm swez kukutizmaa machoni ata mama angu alonzaa siwez kumtizmaa sana usoni natizama chini macho yenyew mabovu nikaze macho yatoke machozi
2026-07-21 04:24:51
9
Rommy346r :
kwa hili sijakubaliana nalo mie nina haya siwezi kumwangalia mtu uson
2026-07-21 13:30:09
2
RALLY :
hapa napo sheikh umetupiga
2026-07-21 15:07:01
2
Mom Y3NA Ahly :
Sahihi Sheikh ila tutapambana nao Kwa uweza wa Allah
2026-07-20 19:03:51
4
Nabil :
kweli kweli yaani
2026-07-21 18:21:21
1
28th/ April Taurus ♉️ :
sipendagi kuona macho ya watu sipendi wenye anaongeya na mimi yukonaniona pia sipendi hio
2026-07-20 19:15:57
5
Nabil fekir :
kweli
2026-07-22 08:19:40
0
Abuu Kauthari :
Mtume Muhammad saww alikuwa hawatazami watu usoni kwa kukaza macho.Hayo unayoyasema inategemea,maana kuna wanafiqi wengi walikuwa wakimtazama Mtume Muhammad saww jwa kumkazia macho.
2026-07-21 05:06:54
1
lyn💕 :
mashallah
2026-07-21 13:23:53
1
@@Keli🧕## :
Daah aisee Nimecheka 😂 shekhe umeuwa
2026-07-21 17:11:06
0
FABROSS :
Ni kweli Subhanallah kweli kbs
2026-07-21 12:14:33
1
user3304467239609 :
mungu mkubwa sana1
2026-07-21 16:22:19
2
jamila.sinay :
mmmh me mwanangu ana miaka 10 lkn akiongea akutizama machoni sijui km kuna ukweli
2026-07-21 11:01:55
0
Body Msomali :
Huo ni uchonganishi sasa
2026-07-21 17:23:17
0
eysha :
mnafki nipo hapa nimetulia kuangalia mtu sana swezi mm😔😔
2026-07-21 10:44:34
2
Proffessor's stand for right💯 :
Ndio sheikh hakika
2026-07-21 09:35:41
1
sharkeezy :
kweli 😂😂😂
2026-07-20 16:48:46
1
mudrick :
mmmmh hapa siamin
2026-07-21 06:46:09
1
Farha🌹 :
hapa sio kweli..wengine wana haiba ya aibu..kuweza kumtizama ntu machon zaid ya sekunde 5 hawawezi..
2026-07-21 07:42:31
0
0658145070 :
sio kweli
2026-07-21 09:30:31
1
user910865006368 :
Hayo yanategemeana na malezi uliolelewa na jamii uliokulia nayo.
2026-07-22 09:57:41
0
0658145070 :
inategemea na unafiki
2026-07-21 09:30:58
1
0658145070 :
unafiki
uongo
ukweli
2026-07-21 09:31:28
1
ummy Sameer 💞 :
kweli kabisa sheikh
2026-07-20 16:49:07
1
To see more videos from user @sheikh_kosonso.official, please go to the Tikwm
homepage.