@christopher_musa: #zambiantiktok🇿🇲 #tiktoktazania🇹🇿🇹🇿 #ruwandantiktok🇷🇼 #kenyantiktok🇰🇪 #usa🇺🇸

christophermusa81
christophermusa81
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 20 July 2026 16:48:10 GMT
56249
2551
426
141

Music

Download

Comments

michael.ndilola
michael ndilola :
Wachungaji wa mishahara hawawez kujibu hilo swali ipo hivi, Bibllia ilikuwa inachagua matukio maalum ndio ilikuwa inaweka , unachotakiwa ufahamu kitu kimoja Adam na Hawa walikuwa na watoto wengi sana ila Biblia imechagua kuwaweka Kain na Abel ili tupate funzo yaan walikuwa katika unabii, hao wengine biblia haikuona haja kuwaweka historia zao ktk bibllia maana isingekuwa kitabu ingekuwa nyumba tena na ndio maana ikachagua matukio maalum tu. soma Mwanzo 5- 3 Adam akaishi miaka mia na thelathini akazaa mwana kwa sura yake akamwita jina lake sethi, siku za Adm baada ya kumzaa seth zilikuwa miaka mia nane, akazaa wana waume na wake, siku za Adm alizoishi ni miaka mia kenda na thelathin akafa, mwisho wa kunukuu. kwa hiyo Kain alimuo ndugu yake maana kipindi hicho walikuwa wanaoana wenyew kwa wenyew kabla dunia haijawa kubwa ila baada ya watu kuongezeka mungu ndio anapiga marufuku kuoana ndugu nenda kasome kwenye mambo ya walawi 18- 6. naitwa mwalimu Michael Ndilola ahsante🙏
2026-07-21 03:01:59
69
user4521421484757
user4521421484757 :
usitumie nguvu nyingi adamu alikuwa na watoto wengine zamani wanawake walikuwa hawatajwi
2026-07-21 08:04:27
22
user9618121704348
keka man :
mungu aliumba watu hata kabla adam na hawa,soma kitabu cha mwanzo 1:25.....
2026-08-23 09:47:59
4
user5161621306135
JamesSamwel🎹 :
akumuoa dada yake, Adamu alikuwa na watoto wengi sana katika naisha yake yote, aliishi miaka 930, kwa hiyo kama kila baada ya miaka miwili Adamu angepata uzao angekuwa na watoto wasiopungua 400, hii inaonyesha Kaini alipoenda huko alikutana na ndugu yake akamuoa
2026-07-21 04:51:46
7
rosemargzaj
hyper ❤️ :
Mambo ya Mungu hayachunguziki 🙏
2026-07-21 11:03:39
4
emmanuel.kimario93
Revolution :
Adam amezaa watot weng San ila weng wao hawajarekodiw kwenye bible
2026-08-28 17:12:52
1
.0070339
𝓴𝓲𝓶 007 :
kipindi kile jamii ilikuwa inahesabia watot wa kiume tu, saw dogo
2026-08-14 13:38:41
4
user499195986115
user499195986115 :
BORO UMEULIZA,NI HIVI,MKE WA KWANZA WA ADAMI HAWA,ALIITWA, lilith,ambaye walizaa watoto 200, kilichotokea,Lilith hakutaka kuwa chini ya mumewe,aliondoka Bustanini,wanaitwa wanadamu,ndiyo alikoowa Kaen. baada ya kuondoka, ndipo Mungu aliposema si vyema Adam akae pekeyake,ndipo aka mletea Hawa kutoka ubavuni mwake, Tafuta kitabu cha Adamu wa kwanza na wapili.
2026-08-05 11:00:54
3
user3250597814575
Nathan jr :
Mimi navofahamu waliokuwa wanatajwa kwenye bible ni watu ambao walifanya tukio maalumu na iyo inchi ya nodi kama sikosei ninneno la kiyunani ambalo maana yake nodi ni kutangatanga na iyo inchi kaini ndo aliianzisha baada ya yeye kwenda kule sababu ilikuwa haikaliwi na iyo inchi ya nodi iliitwa Ivo baada ya kaini kwenda kule
2026-08-04 09:27:10
0
wilsonachilembwe
Wilson Achilembwe :
aliowa dadaake lakini pia Adamu hakuzaa kazini na habili tu! alizaa pia sethi na mwanzo 5:4 alizaa Wana wakiume, na wakike soma mwanzo ,5:4
2026-08-02 12:17:07
3
jungleboe0
Jungle Boe498 :
Kuna vitu vilifichwa kwanza unatakiwa kujua Adam alikua na mwanamke wa kwanza walioumbwa sawa alikua anaitwa Lilith ambaye huyu alikua akizichapa na Adam muda mwingi ikabidi Adam aombe kwa Mungu aachane na huyo mwanamke na akafukuzwa na akaenda mbali na akaanza kuzaa na majini na akazaa kizazi Cha ajabu sana sasa jibu langu ni hili kwenye bible Kuna vitu havijaongelewa ambavyo vina ukakasi me navoona Mungu aliumba binadam wengi ila katika hao wengi Adam na Eva ndo wakaandikwa kwa kitabu Ili Hadith Yao iwepo kama watu wa kwanza
2026-07-22 01:55:40
5
poverty.peace
Poverty Peace :
maswali mengi majibu hamna
2026-07-21 18:40:03
1
s.6t10
$$$$ :
kitu ambacho hujui adamu alikuwa na watoto wengi lakini waliozungumziwa kwenye biblia ni kaini na Abel
2026-09-09 22:04:25
0
naiklya
naiklya :
haya mambo ya dini yana utata saana na imani yangu ta kikcristo inazidi kushuka
2026-07-21 04:53:28
1
mashaka.mwakio
Mashaka Mwakio :
poa kaka waelimishe maana niwabishi
2026-09-10 10:57:15
1
fm77516
fm :
kumbuka Malaika waliotupwa pamoja na shetani ndio majiji, yalizaana yakaitwa Majitu ndio maana aliogopa huko alikofukuziwa yatamuua, so yalikuwepo Majitu yalioana na kizazi Cha kwanza
2026-08-27 12:56:35
0
ndelwa_jabir
Jabir Ndelwa :
Hilo swali nilimuuliza ndugu yangu mchungaji akanikimbia
2026-07-27 05:42:57
1
skigoda11gmail.com
kigoda :
biblia imeacha maswali mengi sana
2026-07-21 18:03:33
1
rukaijakale
Peter Rukaijakale :
wanadamu walikuwepo ila hwakua na sula ya Mungu wala mfano wa Mungu na walikua wanaishi nchi ya enodi nahuko ndiko aliko jitwalia mke huko Adamu nimtu wakwanza kua nasula ya Mungu lakini hakuwa mwandamu wakwanza
2026-08-18 18:25:53
0
elizabeth.kidaka
Elizabeth Kidaka :
nitafte nikupe elimu kuhusu Hilo maana kwa maandishi siwez kuyamaliza
2026-07-21 07:22:36
1
msipuka.junior
LUCAS MSIPUKA :
kabla ya adamu na Eva binadamu walikuwepo ina maana adamu ni mtu wa Kwanza kwenye Sheria za Mwenyezi Mungu ndo maana bibilia inaeleza kazini na abeli walioa binti za binadamu
2026-08-04 13:55:42
1
user6128670468601
Ellythom business :
katika kitabu cha mwanzo biblia haikuweka mambo yote waz ila kizaz cha adam na hawa kilikuwa ni kikubwa ila biblia ilikwepa kuweka mambo yote waz kupunguza story
2026-08-02 08:56:00
0
sharkman885
sharkman :
muhim kujua mungu yupo bc mengin hay mm hayaniusu
2026-07-25 10:26:11
1
sundaykipepeo
KIPEPEO FASHION :
biblia bana inachanganya sana ndio maana haipendi kuhojiwa maswali
2026-09-04 06:29:03
1
mungumwenyewe2
regga datta :
alioa malaika
2026-07-21 06:18:18
2
To see more videos from user @christopher_musa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About