Ronaldo ni mmoja tu hakuna mwingine alafu kuna mtoto wàke dictator kylian mbappé GOAT 🐐 ajae baada ya GOAT 🐐 mkubwa CR7 siuuuuuuuuuuuu
2026-07-21 06:42:13
12
masafaalvin :
2026-07-20 17:53:59
19
MR SPICES :
uyo ndo ule mpira wenyewe 😂
2026-07-21 05:30:35
6
Nathalie🇨🇩Francoisa :
Ni kwa sababu Messi alikuwa bado kwenye kombe la dunia, ikiwa Messi yuko kwenye jambo fulani basi tunapaswa pia kuzungumza kuhusu Ronaldo na si kwa sababu ni mzuri hapana ni kwa sababu huwa tunawalinganisha wawili hao kama Diamond na Alikiba.
2026-07-20 19:19:00
14
Luqmani :
anazungumziwa kwasababu ya lionel messi
2026-07-20 17:44:10
6
doctor jawad :
messi pia ana kipaji k kubwa ronaldo n kujitahidi bro hujui mpira😂