@user28882761968133:

bella💋
bella💋
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 20 July 2026 17:02:03 GMT
27510
813
320
299

Music

Download

Comments

mrs123hamzabey
Mrs hamza Nyumba😘😘 :
basi Leo ndio nimeelewa kumbe alikua anaitwa na mufti anamdharau haendi ,,Sasa kama kiongozi wako mkubwaa amakuita muekee mambo sawa na hauendi,,basi nishaelewa kulikua na mambo mengi mno hapa katikati mpaka kufkia kuvuliwa uongozi,,kama ni kweli bais kibri kilitawala
2026-07-21 08:16:20
9
abal.ajami
Abal Ajami :
wajua hizi simu kumsevu mtu haimaanishi ni yeye jamani inawezekana fika kuandika namba nyingine ukasevu jina unalo taka na ukalichatisha, twataka tuone hiyo namba ya simu, pili tuone hicho kipindi cha chating zao
2026-07-21 11:44:41
5
faidhathumudi
Fei_hat khan 🥰 :
kama mtu akutaki si bc sio lazima anaekupenda akupende dada weka akiba ya maneno kesho yako uijui unadhan aya unayofanya yatadumu na unazid kujiharibia kwa uyo mwanaume ni vyema ukaa kimya ukatafuta namna nyengne tu
2026-07-20 22:53:57
17
selfqueen867
Self queen🦋 :
😂😂mbna unafuta commenty jamani😁
2026-07-20 19:46:42
17
warda.idrisa2
Warda Idrisa :
uwe unasalimia kwanz sounaanz kutupa story2
2026-07-21 06:59:45
15
cdratahmad
sabra hassan :
Bela tena fanya yaishe ,msamehe
2026-07-20 17:56:01
11
naasrah
HUSTLER GIRL💪🎀🎁 :
NYIE HUYU KWA AKIL ZAKE ANAWEZA AKAWEKA PICHA YA SHEKHE NA KUJIFANYA NDO ALIKUWA ANACHATI HIZO SMS SIO ZOTE ZA UKWELI KAMSEV WALID MAGOMENI TUNAAMINIJE KUWA HUYO NI SHEKHE KINA WALID MAGOMEN WAPO WENGI JAMAN HALAF HAPA SIO MAHAKAMAN
2026-07-20 19:51:15
16
pisces20th3
Pisces ♓️ :
Mie anayenitumia laki5 tu siwez kumpoteza 😂😂😂
2026-07-21 13:26:52
0
hashimu.thabeet
Hashimu Thabeet :
eeeeeee
2026-07-20 20:13:51
0
kantushy03
Kantushy A🍭 :
Sasa kama number ume save tu waleed alafu sio yeye tutajuaje 🤣🤣🤣
2026-07-21 07:39:39
7
biberlove5
biberlove5 :
hahahah kwan walid wa magomeni ndo shekh???mbon nina bwana magomen anaitwa walid msinichangany bana😄😄
2026-07-21 11:57:16
2
aisha.allyadam
Aisha Allyadam :
anacho kitafuta atakipata
2026-07-21 06:15:43
6
darahma2
Darahma :
Mbona kama umetumwa?
2026-07-21 11:54:35
1
zahrapunja_collection
zahrapunja_collection :
futa hii post sio vizuri kuzalilisha shekh wetu,
2026-07-20 21:11:08
5
khamis.awesi.abda
Khamis Awesi Abdalla :
mbn tareh hatuon
2026-07-21 03:05:01
1
chibonge2
Safrath Haroun 💞 :
Asa shekh walid matusi ya nin Subhanallah🥹💔🙌,,,,
2026-07-20 17:26:09
7
bila.kuchoka43
Bila kuchoka :
mungu akutie nguvu Dada bela
2026-07-20 19:00:18
5
omarykhamisi7
omarykhamisi7 :
sasa mbona hakujibu unaongea wewe tu
2026-07-21 02:09:57
1
himdatdumilayunus
Himdat Dumila Yunus :
sasa hivi watu wakitaka kuoa waoe familia zao damu zisiende ndani musikurupuke family kwanza cousin ama mtoto wa karibu wa familia musije mukajuta ama kuoa mtu anayemfahamu kifamilia yao muwe makini
2026-07-20 18:46:22
6
mrskhantz
@Phiyaah khan :
Shekhe Ana hekma sidhan kama anaweza kukujibu maana anajua utapost tu 🤣🤣
2026-07-21 06:57:57
4
rangaa436
user8376004761674 :
yeye ni binadamu kama wengine na anakosea yeye siyo mtume
2026-07-20 21:16:17
2
mrskhantz
@Phiyaah khan :
Utampoteza mtu anayekutumia 2M KWELI😁🤣
2026-07-21 08:00:49
2
gakpo1492
TheHiddenClue :
watu wanaobisha na wanaokubali hawajui kwamba sote ni binadamu tunaanguka ila ninachoona KIBRI ndo imeleta yote haya
2026-07-21 11:21:23
4
alrahman_madrasah
alrahman_madrasah :
dada kama tulikuudhi tunaomba utusamehe, achana na hawa wanaokutukana usiendelee kumchafua sheikh.
2026-07-21 08:47:09
4
genovevacute0
CUTE~GENO🫦. :
Mbona kama kwely
2026-07-21 12:18:50
1
To see more videos from user @user28882761968133, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About