nilijichanganya nikaenda kutafuta kazi suma jkt mwanza yakufyatua tofali dadeq walinikimbiza wale watu nilitoloka
2026-07-25 14:03:22
0
cubu.og13 :
😂Me nachega tu
2026-07-20 19:17:29
27
frankythug :
kimya sana kwenye game broo
2026-07-20 19:17:56
21
dolupha1 :
me nilipata kazi ya kuhamisha mawe, nilkuta mawe makubwa kuliko miaka ya baba angu
2026-07-20 22:52:05
20
kontawa_47 :
Kontawa_47 fans
tawa fans page
2026-07-20 21:22:33
19
Suda khan :
mhmm me nachekag2😁😁😃😃
2026-07-23 07:43:19
1
mtafutaji 🚶 official :
brather mm niliisi nakufa mpaka leo sjawai beba tena simet
2026-07-21 09:32:35
1
🥀Aizack🌴🌴 :
Mimi uyo sema me ilikuwa 800 afu tupo wanne😁
2026-07-24 20:50:54
1
P.h.e.d.a🫠 :
Kwani tawa mnampaga nin🤣
2026-07-21 19:05:10
5
rITZrOTZ ♊ :
fry or fly
2026-07-21 02:17:00
1
tommyclassic4 :
bro hii ktu ishantokea kabisa wallah waongelea historia yangu bana jamaa niliwakimbia nmewambia naenda kula sikurudi tena nafaa kupandisha mawe 200 ghorofa ya nne nilbeba 15 😅😅😅😅😅 jamaa wakiniona wananicheka vibaya sana
2026-07-21 07:54:22
5
jmotz :
kaka umenigusa sna
2026-07-23 19:25:13
1
CHEGU_TAWA👑 :
🔥🔥account yangu ndo hii kaka🔥🔥
2026-07-23 18:28:45
1
Lucy :
me nachekaga 😁😁😁tu
2026-07-20 22:36:21
1
shey love :
hahaha😅😅😅😅😅 me nachekag tu
2026-07-20 20:17:04
3
Beatrice hans :
🤣🤣🤣🤣🤣hhhhhh wee
2026-07-21 00:26:54
1
Black boy :
Noma kaka 😂😂😂
2026-07-20 22:57:19
2
atomic :
kweli maisha yanajirudia🤣🤣🤣
2026-07-21 09:28:32
1
Alex Drummertz :
noma Sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-20 23:22:29
1
baba watoto 🏇 :
Daah kwaeshima brother
2026-07-21 06:25:52
2
Vagha Tshaaban jr :
2026-07-20 17:46:51
2
lulumint 🤍💞 :
naomba niwe BFF wako jamn
2026-07-20 17:16:07
4
🍔 :
my brother
2026-07-20 18:59:51
2
sam. etoo :
machinga wenzang tulio tembea asubuh mpak jion bila mia mbov tujuane
2026-07-22 16:56:09
1
MATOKEO ,,E :
Nakubar familia😂😂
2026-07-20 21:52:32
1
To see more videos from user @heistawa, please go to the Tikwm
homepage.