@ribangori: Mrembo mmoja alipeleka chali yake mtaa kwao officially kumintroduce kwa buda wake. Vile tu walifika, mzee alipigwa na bumbuwazi kuona vile huyo msela alikaa: jini mzima alikuwa mweusi tititi, miguu ya kupiga kura , na macho spana Chali kuona uso ya mzee imebadilika, akaona atulize ngori na kasmile. WALAHULA! Kumbe jamaa alikuwa na mapengo, hana meno zote za mbele!Buda akashindwa kuvumilia, akamuita mrembo wake kando: Buda: "Mwanangu, kanyaga inje kiasi tuongee." Mrembo: "Ai daddy, sema tu hapa. Huyu mtu wangu ni kiziwi, haskii kitu!" Buda wa watu network ikakata papo hapo... akazimia flat!
RibaNgori
Region: KE
Monday 20 July 2026 17:21:48 GMT
Music
Download
Comments
👧💯@#THIRD GIRL💯🥰🙏 :
follow me
2026-07-27 12:17:18
0
👧💯@#THIRD GIRL💯🥰🙏 :
lough
2026-07-27 12:17:00
0
bahat H Mkude :
😂😂😂😂😂😂
2026-07-27 07:31:14
0
®π£€°√¥℅ :
😆😆😆😆😁😁😂😂🤣🤣🤣
2026-07-24 01:42:41
1
Eddie💞Vee :
😆😆😆😆
2026-07-26 22:15:23
1
To see more videos from user @ribangori, please go to the Tikwm
homepage.