@avuniwa_ernest: #creatorsearchinsights

Avuniwa Ernest
Avuniwa Ernest
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 20 July 2026 17:25:28 GMT
33699
848
95
187

Music

Download

Comments

nimahofficial22
nimahOfficial :
we misitasahau 2020 tuliona tangazo minamama wanataka wafanyakazi mshahara laki3 basi asubui minamama tukaenda tukapewa form zakujaza tukajaza badae tukaitwa kikao kilamtu akapewa mzigo wake mama beseni mimi hotpot nikauze40000 kwaiyo nikiuza45000 elfu5 yangu tulitembea kuanzia mwenge adi bunju yani bado kidogo tufike bagamoyo kwa miguu nasikuuza nilitembea nimeinama wikinzima kesho yake sikurudi mama akarudi nayy alitembelea gongo wikimbili mamae🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-21 20:25:14
1
shamimu.rashidi6
shamy❤️❤️ :
Me nlichokaa kukaa nymbn nkasema wachaa ntafute kazii mungu si asuman nkapataa na nkaanza sku hiyo hiyo mamntilie kariako sasa nkawekwa kitengo cha kupikaa nkapikaa mwenetu chakulaa kila mteja anaekuja anakisifiaa na kiliishaa mapemaa sasa baada kupikaa kulikua na wa kusuply sasa walikua wavivu ety me mchapakazii naambiawa twende mwaya tukachukue vyombo nashanga nkifikaa naelekezwa apa paintwa wap na uyu ni nan kumbe ni janja yaan niwe napikaa na kusply nkasema poa sio shida twende kwenye mshaaraa jion napewa 4000 jmn nlitamn kulia ety sku zinavyozidii kwenda ntakua nakuongezea we kesho yake mama ananipigia simu mbn aufikii nkamwambia nko msiban nkitokaa ntakupigia😂😂😂😂
2026-07-21 07:12:48
10
beatha2580
Beatha seleman :
UMENIKUMBUSHA MAMA ALIKUTANA NA ENTENO wakamshawish akaja kunishawish nikaenda ofsin majumbaa 6 kwa mbel nikapew t shet na lain sikumbuk na nn yaan nalud namuadisia baba akacheka sikwenda ata kutembeaa😅😅
2026-07-21 18:20:36
1
let11574
leticia Remy :
bora wewe mi nakumbuka ilikua mwa 2021 nilichukua namba nikapiga sim wakaniita ofisini nikapewa gorm nijaze ad pasport wakanambie uje kesho kesho yake napewa dawa mara za uti na ngivu za kiume na nyingine nyingi wakanambia ni mwanzo tu badae tutakuamisha ila nilishindwa kwakweli ila aya maisha hapn😂😂😂😂
2026-07-20 21:32:37
11
waziri191
wazir@ :
ww acha tu nilijaza fom ya cello nikambiwa kesho asubui niwahi kwenye itaviu na niwe na shati jeupe na suruwale nyeus nikakopa pesa ya mam ntilie nikaenda kununuwa surwale kesho nikawahi kwenye itaviu na fikatu nakuta wezagu wako kwenye paredi nikashutuka nin ten bas na mim nikauga bas tukamaliz bas nikapewa mdada tuogozane sto weee nilipewa viti kumi beseni sta nibebe weee bas nikatoka navo kweli mpaka stendi tunenda kupanda daladal tunaenda mwege asee nilimwacha mdada steni na viti kumi na besen 7
2026-07-21 19:11:25
1
raymond.msimbe
Raymond Msimbe :
kuna yule alipata kazi ya kuhuza chakula kariakoo akaambiwa azunguke atafute oda saa ngapi Ajapotea wakati wa kurudi kazunguka mwishoni katokea mnazi mmoja na saa ni saa 11 ikabidi apande daladala arudi nyumbani 😂😂😂🔥
2026-07-21 20:44:17
0
nkeya4
nkeya ENIDIUS :
mtaniuaaa
2026-07-21 07:03:09
3
ninnoh29
Ninnoh handbag 👜 :
Ilinikuta hii😂
2026-07-21 12:25:05
1
veeqbae0
veeqbae🌹🥀❤ :
😂😂😂Mungu nisameh ila unachekesha
2026-07-21 14:42:03
0
user2804172056212
❤️❤️❤️ :
😂😂😂nimecheka mpk machoz😂
2026-07-21 20:19:24
0
manka.food
MANKA FOOD :
nimechekaaaaa
2026-07-20 20:54:19
1
vanwill8
vanessa william :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu mm jamanii
2026-07-21 06:42:52
1
gyanna07
Yanna🧚‍♀️💫🦋 :
😁😁😁😁aiseeeww
2026-07-21 07:42:42
0
tipha8276
tipha :
jaman mbavu zangu
2026-07-21 08:05:56
0
user1182909020176
hassan :
😁😁
2026-07-21 16:24:33
0
realdady889_
Prudence_889 :
🤣🤣🤣🤣 nyie
2026-07-21 18:44:19
0
captain2191
Captain JR :
Aahaahahahaa
2026-07-21 17:14:30
0
abuhujampy
abuhujampy :
hatimae mhalifu wetu kapatikan😂😂😂
2026-07-21 14:23:53
2
maimunachapo
munnah stylish 👗✂️ :
🤣🤣daah
2026-07-21 10:38:38
0
To see more videos from user @avuniwa_ernest, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About