@hakikaonlinetv: "Mulinyang'anya raila kura mara kadha tukinyamaza Sai tunasuport Ruto hii nayo hamuwezi mnyang'anya Ruto na tunyamaze bana"Fredy kenya one (FK1)#DCP #nairobitiktokers🇰🇪 #Uda #story #PoliticalNews
he talks representing the silent majority ngojeni tu
2026-07-21 04:57:10
192
jo7640555 :
Ruto is long-term until 2060
2026-07-30 19:42:11
22
MBOMA MBIJIWE :
yenyewe NI democracy but bro si angarau mjifilie muache kubebewa akili, first was raila now ruto,we don't want any position in government but kusaidia Kenya,
2026-07-20 17:56:45
6
Reginah🐼 :
abweke kabisa lakini hawatawai pata uongozi
2026-07-21 08:30:50
3
@Amina Adam2 :
our president mpaka 32
2026-07-21 16:02:45
12
Mukami 🪐🐃 :
Msisahau MPs ni UDA, otherwise ata Ruto akishinda without a majority of MPs they will impeach him.
2026-07-21 21:21:32
4
Samuel Baraka Mutua :
Tell them,mambo ni TUTAM
2026-07-24 15:22:30
3
calvo :
long term siku zombo
2026-07-22 03:25:41
3
papa fololo :
ruto ni president juu hakukuwa na opponents raila alikuwa mfanyabiashara
2026-07-20 20:05:39
3
Automotive body care :
Hamjai pitisho Raila je Ruto?
2026-08-02 15:32:14
0
Caleb Muyuka :
Ruto ni long term mpaka 3050 🤣🤣
2026-07-21 14:14:52
9
Ustadha Amina🕌🇵🇸💪 :
true 💯
2026-07-20 23:15:11
5
DEKAB :
Tutachukua tukitaka na hakuna kitu mnaeza Fanya 😂
2026-07-21 07:29:15
1
BWALEY :
ruto ataibiwaje kitu ako nayo.. watapigana wenyewe hadi wachoke
2026-07-23 07:31:10
3
am linux :
we will vote na hasira sanaa😂😂. watashangaa
2026-08-04 17:53:36
1
lonely sis :
tutam ✌️✌️
2026-07-21 04:04:15
4
Surveillance ya kwenu :
Second term Ruto hataki kura yako,ata usipomchagua bado ataingia tu,ile kitu mmafaa kufanya niwatambue ni mueke mtu for the first time,Second time inakuanga ya wizi,mlishindwa kuweka Raila mara moja so mlo chini sana majamaaa😂😂😂😂
2026-08-04 06:44:28
4
xzv :
Raila alikuwa anapita kura lakini marupurupu ilikuwa mob kushinda mshahara ya prezo😂
2026-07-21 16:24:34
1
maxi desigh :
unasema alinyanganywa Na Kibaki, 2013 akanyanganywa, Na uhuru na DP Ruto 2013, 2017 akanyanganywa Na uhuru Na Ruto, 2022 Tena Ruto na gacagua,
SIFUNA hajawahi mnyanganya.
2026-07-21 05:44:18
0
Kenmusa :
hapo ni sawa
2026-07-21 01:40:44
3
ELI :
sure I'm with you
2026-07-21 16:00:55
2
Collo Ke👑👑 :
😂😂😂😂uzuri ataraila hamukukua mnampa kuraa😂😂
2026-07-21 12:01:17
1
Edward khisa :
Hahaha true story
2026-07-21 00:28:34
2
Ndalos :
Ruto long-term
2026-07-21 01:47:35
3
engineer steve :
Ni ukweli
2026-07-21 05:42:21
0
To see more videos from user @hakikaonlinetv, please go to the Tikwm
homepage.