@jesseclarke95: Wanaume wenzangu, sisi wote hatujakamilika, lakini kidogo tunachoweza kufanya ni kuwapa sapoti wake zetu wanapohitaji. Wanapitia mambo mengi sana magumu, ambayo sisi kama wanaume tusingeweza kustahimili.
Congratulations baby girl. I didn’t even know you was pregnant again. Something are best to keep to yourself until it’s time to share with the whole world young man you are a great father and will be an even greater father to both of your sons. Blessings. 🙏💕🙏
2026-07-20 18:45:59
34
Mama Nolla❤️& Mirani :
Hengera sana mama zailo &baba zailo 🤱🤱🤱🤱
2026-07-20 20:52:16
0
cute_rawahy09 :
watt wa 2 bil y ndoa duh 🤣🤣
2026-07-29 09:38:59
2
Julieth Elisha :
jesse wewe ni mume mzuli sana mungu akubaliki jamani na hongelen sana
2026-07-21 17:41:17
6
Thuraiyah❤️ :
Mungu nijalie nipate kama huyu 🥹😔
2026-07-23 19:40:42
32
upendo classic disginer :
Hongereni sana sana kwa kupata baby girl Huyu sasa kachukua uzungu wa baba kabisaa Zailo kamix bqba na mama ❤️❤️❤️Nawapendaaa jamani❤️❤️❤️❤️
2026-07-20 19:28:32
41
Mama Cute boys😘 :
kama huyu ntatulia
2026-07-20 21:26:43
6
user93263938709537 :
jmn kumbe kunakujifungua katoka maji nilikuwa sijui hongeren sana
2026-07-21 08:08:42
12
DALALI MINAAH🥰 :
mungu nipe kama huyu🥰🥰
2026-07-20 18:54:56
7
Nailah 🤍 :
My favourite couple congratulations Jesse and mama 💗💗
2026-07-20 23:22:52
1
Linnah Zuakuu :
mkeo amepata mume kaka ila cc wengn tupo leba wapo Kwa michepuko waume
2026-07-25 11:17:44
5
Winvida :
nimependa hongereni sana kuongeza familia
2026-07-21 07:51:46
6
Gradness david Magendo :
haya mngu wangu ukanipa ninacho sitahili yaani hata nikiwa na hamu na senene nikimuagiza haniletei uwii mpaka najifungua moyo ushapata kutu maana maum
2026-07-30 13:49:17
2
rockzompa💜 :
Fr bro Mungu awalinde wanawake wote❤️
2026-07-26 06:21:29
2
@mamyraj :
jesse nimependa caption uloandika...hakika sisi wanawake tunapitia wakati mgumu kweli ..congratulations na mungu azidi kuibariki family yko mkeo na wanao🥰
2026-07-21 06:56:56
6
ammy salum :
uko sahiii kakaaa wewe ni mwanaume na nusu😊
2026-07-22 09:49:37
3
رووعةةة :
الله بدي الجنه
2026-07-24 15:18:55
2
Bint shango🇰🇪 :
uyu ndio anajuwa kujari mke hii ndio shida na raha🥰🥰
2026-07-21 16:22:06
3
Mamy RHD :
Nataman na hospital zetu za serikalin wangekua wanaruhusu wanaume zetu
2026-07-29 00:19:14
2
charlycharlo31 :
raja sana maumivu yanaisha
2026-07-22 06:56:42
1
@dayday_68 :
That sums it up am getting me a white man💕💕💕this is amazing 🥰
2026-07-24 13:27:43
3
To see more videos from user @jesseclarke95, please go to the Tikwm
homepage.