ila elimu ya bongo😂😂Niuze kiduka changu nishasoma sana nishafny interview naishia kuon wanaofny connection wakitoboa
2026-07-21 21:49:16
1
@yakobosimon1 :
saivi wanakuletea ambacho sio inatakiwa ukisome bali maswali ya kupima uelewa wako bs
2026-07-22 04:08:55
0
flr :
umependeza sana 🥰
2026-07-21 15:45:51
2
david :
sasa kama kwenye ualimu hasa ile written sasa pale niende nisome nn jamni 😳
2026-07-22 07:02:35
0
Mathew Paul :
Hapo nimekuelewa neno SOMA HALI-FIT KWENYE MUKTADHA HUU tumia neno JIANDAE
2026-07-21 13:43:19
6
brenda :
jmn mm nina miaka 3 nipo tu nyumbani sijapata kazi nimesomea accounting ila sina cpa kama kuna mtu ana ofisi inahitaji mhasibu msaidizi mniunganishie nipate experience
2026-07-22 07:00:42
0
ney*G :
aah nikiitwa ntazima moto kama kawaida😅
2026-07-21 19:48:42
0
Shuraim :
aaaah weeh sahv interview zenyewe za michongo unapiga msuli tembo wanaitajika watu 8 halafu ukifika unasikia za chini chini kuna watu 6 wa connection washapitishwa wengine mnakuja kukamilisha ratiba hizo zama zishapita sahv ni masuala ya connection
2026-07-22 21:15:11
1
user402185683993 :
ni kwelii nilikeshaa na nilifauru
2026-07-21 11:01:27
5
khamisame80 :
dada nisaidie mwajiriwa mpya sina cpa unanishauri ni mana nimeanza kuulizwa na wafanyakazi wenzangu kuwa una cpa ?
2026-07-21 05:51:35
3
Iam_ngaller :
More blessings sissy🥰🥰🥰
2026-07-20 18:49:48
1
khamisame80 :
dah apo umenena jambo
2026-07-21 05:48:56
0
Fifi❤️ :
CPA 😅😅😅Ouky
2026-07-23 09:58:44
0
Yusuph Masomhe :
Kuna interview zinatoa MITIHAN unaeza kimbia
2026-07-21 20:25:45
0
Hero :
kweli kabisa ilishanikuta nikaenda kwenye interview bila kusoma kilichomikita nilikuwa swali dogo tu la kijinga nikajibu Kwa mazoea nikafeli niliumia
2026-07-22 11:52:14
0
Edwine :
uhakika dad
2026-07-22 20:35:56
0
J :
😀😀 sikuhizi written watakufurahisha
2026-07-21 20:33:37
1
kanasoni.m :
mi naendaga tu... fresh
2026-07-22 06:10:19
0
Lupimo Christianity boy :
umenena dear
2026-07-21 09:05:55
0
To see more videos from user @emilia_jamii, please go to the Tikwm
homepage.