@emilia_jamii:

CPA Emelia Simon Mwakatwila
CPA Emelia Simon Mwakatwila
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 20 July 2026 18:54:14 GMT
92530
3029
153
564

Music

Download

Comments

eddo790
Eddo :
Kwani hizo ofisi mnazungumziaga vibaya huwa ni ofisi gani? Maana nimekaa almost ofisi nne tofauti sijawahi kukutana na hayo mambo ya ovyo kila mtu anatambua thamani ya mwenzake, Sometimes wewe ndo unaweza kuwa tatizo alafu ukaona colleagues wako ndo wana shida kumbe sio kweli
2026-07-21 06:01:14
37
aloicy.mmassy
chief-securty🇹🇿🇺🇬 :
straight status nimechoka
2026-07-22 07:32:03
0
professionalwolf2
Wolfgang :
nikutumie no ya meneja wangu umwambieee manaa he is too toxic and flammable 😂😂😂😂
2026-07-21 07:13:59
16
accradee8
AccraDee🫶 :
😂😂😂Kuna Mimi napigwa vita lakini ndio hivyo boss ananielewa kinoma tumetoka mbali
2026-07-21 18:25:41
16
user8213450698448
lety iddy :
nataman kutuma kwa group la ofisi ila napenda kaugali kangu 🥺🥺🥺🥺
2026-07-21 06:23:17
14
carrie_994
𝓒𝓪𝓻𝓻𝓲𝓮 🤎🧸 :
Straight kwa group la kazin
2026-07-21 19:08:56
2
itsveromonicah
Vero✅ :
Acha tu hii vita sijui tutaishindaje!!!
2026-07-21 02:56:05
13
dungula123_1
dungula123_1 :
Kuna office moja nilipita. Mama weee, kwanza Boss mwnyw ni akijua ww ni bright hakutaki.
2026-07-22 14:31:09
2
magrethmwakyusa
MagrethMwakyusa :
nimetoka kuwaza asubuh hii wakat nataka kwemda ofisini yaan kuna mtu Mungu ndo alisaidia akafika mahal kajisahau hodar wa kuunda fitina hodari wa kufukuzisha watu kazi yan hodari wa kuchezea akili za watu mchafuz halafu anamtaja Mungu aiseee Mungu atusaidie sana jaman pesa inafikaje kuwa na nguvu kwa moyo wa mtu hadi unashangaa akitaja Yesu mtu anafanya ofisi n kilinge chake mtu unaogopa ofisi kila mtu amwabudu yy jaman aah nachoka mimi Mungu atusaidie tusibadilike
2026-07-21 06:40:05
9
user7853090398615
VERO🫦 :
Uyu mdad nilimkutaga ofis moja iko kweny jengo la pssf yoooooo yan anakupokea vzr anakusaidia vzr yan utapenda jamn Mungu akubaliki mam🙏❤️
2026-07-21 15:03:54
6
joycemagambo
joycemagambo856 :
yani DD umeniumiza tena. maana napitia magum sana kazin alafu kazi yenyewe ya ulinzi adui anatoka anaingia.jana nikapelekwa kwa viongozi nikakalishwa kikao kisa ata akieleweki DD napitia magumu sana. nauza kalanga kumbe naye alitaka kuhuza kokoto si angemwambia tuu Sy kunitukana na vikao kila siku. maneno ya uongo alafu kwenye kikao anacheka. DD ww acha tuuu.mm sijui nifanye je. ningekuwa nishamaliza nyumba yangu ningeacha kazi ya ulinzi mama nimechoka sana moyo ❤️💓 wangu imechoka jana adi natamani niache kazi DD sijui nifanye je pia tatizo sijui kiingereza ndio maana wananizalau kwa sababu yy ana digrii kama deni la taifa. pia na kieleeleee kesho navoweka sitatus kabisa na APA nimepangwa naye post moja nimeongea sauti naye anasikia DD DDD nasemaga mm kila SK aya maisha tuuu tutakutana mmikoan au popote
2026-07-22 07:59:59
1
arnoldrweshabula
Rutaarn :
upo wapi we mdada kuna sanamu lako hapa sijui nakupataje nikupee
2026-07-23 08:11:22
2
ab113tech
Ab113tech :
offisi inaonesha True Colors ya Mtu 😂
2026-07-21 05:53:05
6
jenipha_safariconsultant
Jenipha _Safari_Consultant🇹🇿 :
Someni na zaburi 23:1
2026-07-22 05:30:10
2
anna.mfikwa
Anna Mfikwa :
👏👏watu kama wewe wachache sana balikiwa sana mbeba maono wangu
2026-07-23 13:11:08
1
uno9019mine
7880 :
Wakati wa Mungu Ni Wakati Sahihi Someni na Zaburi 109.
2026-07-21 05:02:02
6
serhaworld1997
Serhaworld🦋 :
Nataman nimtumieeeee mama mmojaaa hiviii hiiii aiseeee🙌
2026-07-21 15:58:38
3
daniel.ramsey18
danieĺ :
Nikupe namba ya supervisor wang 😂😂😂
2026-07-21 18:48:00
6
naith960
naitham :
hizo ni local government walah hakuna rangi utaacha kuona
2026-07-21 18:22:51
2
jenipher.erasto0
jenipher erasto :
I will be a CPA like you in Jesus name Amen
2026-07-21 19:09:22
1
trish.sissy
Trish Sissy :
Umesema kweli uchu,uongo,fitna kujipendekeza kwa watu kimaslahi,wale wa kuropoka ili waonekane wanaongea saanaa,wajuaji,wenye wivu,sumu za ubaya ili wakushushe wao wapande,wanaotamani ukose tu hiyo nafasi kwa kuwa wanaishi kwa hisia wafurahi,wakucheke,ukahadithie wanaona ukipata unaweza kufika mbali na wao hawataki utangulie wewe kwanza kupata khaaa ni mengi🤣😂😅😂🤣
2026-07-21 21:15:04
2
user827157379457
user82153536 :
kweli
2026-07-21 09:29:45
1
lilliesnganzi2
Lillies Ng'anzi :
sana jamani mi ndo maana nabaki kimya mtu anaongopa jamani mpaka unashangaa
2026-07-22 09:29:58
1
user749245617818
user749245617818 :
Asante sana ujumbe mzito na mzuri 🙏
2026-07-21 22:06:13
1
kanamgiga
kanamgiga :
Thanks so much 🙏
2026-07-21 10:43:53
1
To see more videos from user @emilia_jamii, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About