@dallasmedia1: "UKITAKA KURA YA MKIKUYU TUSI WAJALUO" 💀🔥 📍Anasema kama unataka kura za Wakikuyu, basi uwatusi Wajaluo. Hii ni siasa ya ujanja! Wajaluo wametumiwa na wanasiasa kwa miaka mingi, lakini wanaanza kuamka. Wakikuyu wakitaka msaada, lazima waheshimu Wajaluo. #KuraYaMkikuyuTusiWajaluo #WajaluoNaWakikuyu #SiasaYaHeshima #KenyaPolitics #WajaluoWameamka
Dallas Media
Region: KE
Monday 20 July 2026 18:56:52 GMT
Music
Download
Comments
davina kimani :
my husband is a luo sijui niseme Nini aki.
2026-07-21 09:05:21
0
Nashtech :
this used to work as from 2007 , till 2022
2026-07-21 07:49:33
2
It's Gitau :
How often do kikuyus even talk about Luos??? angalia rally zote za Mbadi,Wanga,Oburu,
2026-07-21 04:24:54
85
Nancie steve :
wachaneni na wakikuyu akuna siku mtaezana nao bro😅😅😅
2026-07-21 05:21:46
54
Plug wa malorie 🇰🇪 :
sijaona Mahali jaluo ametusiwa hapo....
2026-07-21 04:01:27
71
it's me_ Wairimu :
William Ruto Otieno 😅
2026-07-21 03:41:46
3
James :
so Ruto ni Jaluo
2026-07-21 02:31:29
45
adi mwaloh254 :
thats nonsence
2026-07-20 22:45:46
0
Wilson Muthui :
ruto ni jaluo
2026-07-21 02:46:54
16
Jonathan Jonas :
kiasi nkuulize . ruto n jaluo kwani . ama n mm sijui
2026-07-20 22:51:13
41
sych_7 :
this people will never change their mindset
2026-07-21 05:51:10
4
EDDIE NAILS KLF💅 :
siasa kando... am kikuyu and I love luos,, their songs, vibe.... ero kamano
2026-07-21 05:13:32
3
Hertz :
ata Omosh alikuwa hapa alichoka ...sahii ametulia
2026-07-21 04:33:00
16
kamau miss :
Na ukitaka kura ya wajuluo utusi nani?
2026-07-21 09:23:51
3
JACQUEL Ts mtumba & boutique :
let us breathe now mmetutusi enough
2026-07-20 22:56:41
7
@Mc Ajudo K'Otieno :
😅😅😅
2026-07-21 05:46:15
1
kamoce wa Gachuhi :
ruto ni jaluo
2026-07-21 04:05:38
3
faithmuchiri838 :
uongo nani amètuma huyu?
2026-07-21 04:01:32
2
AKM :
ni nn mnaulizanga wakikuyu
2026-07-21 04:33:52
6
Eunnizza :
not like that sisi ni kitu moja
2026-07-20 23:59:35
6
❤️ AFRICA 🔥🔥 :
uongo bro
2026-07-21 03:53:15
4
mose :
wacha kupiganisha kikuyu n luo..uliona wapi wakipigana...hii nairobi tunafanya shughuli pamoja
2026-07-21 06:31:02
1
Mary shiii :
Kwani iyo n matusi??
2026-07-21 06:05:43
1
David Gitonga :
sio siku hizi bro,huko tulikoa,,, aibu
2026-07-21 13:54:24
0
kiogozi :
matusi iko wapi hapo
2026-07-21 13:42:19
0
To see more videos from user @dallasmedia1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.