@bbcnewsswahili: Uingereza ina waziri mkuu mpya, na ni waziri mkuu wa tano katika muda wa miaka minne tu. Andy Burnham amemrithi Keir Starmer aliyetangaza kujiuzulu kwake mapema mwezi Juni kufuatia matokeo duni ya uchaguzi wa mitaa @Hamida Mjahid #Burnham #Starmer #DiraYaDuniaTV #BBCSwahili