@bonyavo3034v8:

BONYAVO 3034
BONYAVO 3034
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 20 July 2026 19:16:27 GMT
289916
11268
252
976

Music

Download

Comments

regan.ochieng2
Regan Ochieng :
True like me here everything talks about me
2026-07-22 09:50:01
0
m5591533
M :
That's me
2026-07-21 10:16:28
1
wekesa.douglas
Wekesa Douglas. :
My Friends this is the story of my life. May Almighty God help me all the days of my life.
2026-07-21 13:39:23
2
69vetera
Gen z veteran :
am still in the situation
2026-07-21 13:00:07
1
lmmusic29
Lucas Paul 🙏 :
mimi Nina mwaka wa 3 sijarudi nyumbn Wala kupiga simu kila nikikumbuka yaliyo nikuta sitamani hata mtu mmoja wa nyumbn anitafute wala kujua niliko
2026-07-21 08:17:25
25
kijana.ya.arsenali8
Ni Vinny 🚭🚭🚭 :
that's fact's mm nilianza kujitegemea nikiwa class 4 up to now 😳
2026-07-21 15:03:18
1
user6504758309755
Yohana :
mimi nina miaka 9 sijarudi nyumbani inanitia aibu nilisema naenda mjini kujitafuta lakini bado sijajipata 😴😴😴😴😴😴😴😴😴
2026-07-21 18:25:39
15
purry251
purry :
n mm sasa adi mm mwenyewe najiuliza mm n kiumbe gan lkn nmeelewa
2026-07-21 04:48:21
21
ndelwa89
James G Ndelwa :
Nikishawahi kuishi hivyo kuanzia Mwaka 2010 mpaka 2019 baadae nikachomoka kwenye shida hii. Nilijisomesha nikatafuta kazi nikaipata na nikiona Simu ya Mama naishia kutuma pesa na si kupokea simu yake.
2026-07-21 19:45:08
10
josphatcheruiyot95
josphat Cheruiyot :
am the fuckin one
2026-07-21 12:09:40
1
nobody74205
nobody :
huyo na mimi kabisa mpaka baba angu husema mimi nmejizaaa duuh bora hata science imenitetea kumbe niendeleee
2026-07-21 07:47:51
14
silvanus.tom
Silvanus Tom :
Huyo ni Mimi, sikuwahi ona uzuri wa wazazi na wako hai, Sikuona upendo wa wazazi na Kwa Sasa nikipiga simu mama anapenda kunilinganisha na watoto wengine ambao walipewa msingi dhabiti katika Maisha yao, huniuma sana😭😭
2026-07-21 15:41:44
13
dalmas.the.rich.ma
Dalmas The Rich Man🤫 :
huyo n mm kabisa
2026-07-21 07:28:12
9
mr_wise_tz1
Mr Wise :
that's a fact 💯
2026-07-21 07:49:55
5
barakaaal656
barakaa :
nina mwezi sijaongeya na mam alfu hata sijawahi kummisis hii nikutokana na story ya utoto wang
2026-07-21 15:35:11
1
aujen04
Aujen :
umenigusa mimi dah
2026-07-22 16:54:47
2
luckybarack1
NATE KING BARBERSHOP :
Baba yangu alituacha akaingilia ndoa ingine ya mtu aliyekufa kuliti mke wa mkufi
2026-07-22 09:35:47
1
erickmakaa2
erickmakaa2 :
nina miaka mbili bila kweda nyumbani ,, juu sina wazazi na atukua tunaelewana na ma uncles wangu na sioni nkieda
2026-07-22 18:34:09
1
user70671781450511
John :
nimewai pitia hali hiyi nikiwa inje
2026-07-22 16:47:15
2
don.pencil.funny
Don Pencil Funny :
mbona nikama huwa unaniongelea mimi.
2026-07-21 09:57:47
4
geofrey.logathe
Geofrey Logathe :
umetoa Siri zangu zote ila nimejifunza kitu🥺🥺🥺
2026-07-21 20:15:21
7
user8166298056908
[email protected] :
hii inaniusu mm kabisa
2026-07-21 07:59:54
3
user5978773711581
Øg vipron :
huyo ni mimi after wazazi ku divorce nikiwa class 3,waliniacha pekeangu na kila mtu akaenda kivyake,nikakaa wakaja after nmemaliza shule sasa na mimi nikaenda town kutafuta pesa nifanye couse niliotaka , nlifanya na nika maliza sasa miaka kumi na moja ,na wakinicall ni salamu tu na kama wakona shida ya pesa natuma lkn sinanga maogezi, lkn huu mwaka December ndio nataka kwenda nyumbani kuangalia vile kuko
2026-07-21 22:39:26
1
festo.fredinand4
Festo Fredinand :
duh! mbona ni mm sasa
2026-07-21 11:19:18
2
salimkiceto
salimkiceto :
duh kweli kabisa
2026-07-21 05:38:16
4
To see more videos from user @bonyavo3034v8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About