@undernews_: mambo kwa ushahidi kumbe Diamond Platnumz alimfata DM chimakeke kwa alichokisema Kuhusu kutengana kwao. #under

🥰UNDER 💞
🥰UNDER 💞
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 20 July 2026 19:43:11 GMT
138671
6516
174
698

Music

Download

Comments

aniphaabdul
Anipher🦋 :
Wazinifu wakubwa wanateteana😁
2026-07-21 08:18:06
263
moriento.demorien
Moriento Demoriento :
Another 1
2026-07-21 17:25:28
1
faizoutlook
Faiz outlook🛍️ :
Huyu kaka usipomsikiliza kwa makini utaona anaongea ujinga lkn baadhi yetu tunavunja ndoa zetu kwa mikono yetu 🙌tabia ya mtu ni ya mtu
2026-07-21 12:03:26
61
myrah_accessories
Meerahs Choice :
Our generation is cooked
2026-07-21 12:41:29
1
userjanuzaj17
Addy17⚽ :
Chima on the beat baby😁🔥🔥
2026-07-22 12:46:14
0
blondie_24
February queen🦋❤💫 :
chima umeongea point na mondi kaongea point😂
2026-07-21 09:27:05
63
officialmdory
~@Official Mdory :
Bhn ata mimi sipendi tabia ya zuchu kosa kidogo tu anakimbilia mitandaoni Kwan aoni wenzake kina nandy wale kwani hawakwazani lakn mbona awajawah kuleta tension,, nikwel inaumiza ila mitandao haina cha kumsaidia kama bwana mwenyew ajaamua kukupa heshima🥹💔
2026-07-21 11:42:46
62
poproxy26
pop roxy :
chima for life
2026-07-22 10:58:36
0
mike001ke
️ :
professor Chima🫡
2026-07-21 16:20:20
2
pamelamakolo
Pamela Makolo :
unaongea fact chimaaa🤘
2026-07-21 15:55:23
2
aishakibabu
Aisha Kibabu :
cha msingi mm ninavyoona kwa upande wangu tuvumilie tu kama anavyosema chima ila tufanye kitu kimoja unakuwa na ww namtu wako mmoja wa kukupoza trust me utawaza chochote apo mtafika mbali niamini mm🙃🙃
2026-07-21 07:53:59
25
user5484833276076
sheyla :
Kiukwer mi nimemuelewa sana chima umeongea ukwer 🥰🥰
2026-07-21 12:06:38
26
mikatestimonyvii
Bonge la bwana :
kipindi naendesha bolt nishawahi kubeba kazi moja kali nimeitoa Sinza nikampeleka kwa Simba yani jamaa anawachapa sana
2026-07-21 12:16:13
11
officialramso10
ɪᴛꜱ ᴍᴇ ʀᴀᴍꜱᴏ💭 :
iyo nyimbo inaitwa wakuu
2026-07-21 10:16:49
13
naahmohd09
Nanah💫🤍 :
kwel kabisa nimejifunzaa kituu 😏😏😏
2026-07-21 14:37:17
11
yassmixx_tz
yas mixx :
mwacheni zuchu bwn guys... she is in pain as long as ame sha accept bas achaneni nae jmn😡🤦
2026-07-21 08:02:06
20
chibebe_gibbs0902
Chibebe_Gibbs🍭🍯🍫 :
Yaan ifike hatua wanawake tukubali mwanaume acha akupende yeye!!! Sisi hatujaumbwa kuwapenda wanaume ila acha mwanaume akupende yy!!! Ww nwanamke adopt upendo unakuakisi kutoka kwa mwanaume wako!!! Mwanaume haforciw upendo jmn jmn!!
2026-07-21 17:42:58
5
zubeli45
Fighter👊🔥💘. :
NILIKUA SIKUEREWAGI LAKINI SAIV.
2026-07-21 21:35:01
3
sweetsavage254
Mrs wake🤞♥️💯 :
inauma bana chimaa usiseme ivo😂
2026-07-21 17:42:03
1
doctorphone45
chii tronics :
fact bro ila jamba kdg🤣🤣
2026-07-21 12:51:50
4
jst_alady
Y.dar♥️🦋 :
Kwani hapa kwa comments hakuna kutuma voice note??maana wheeee anachoongea huyu kaka sielewi
2026-07-21 15:45:37
1
lioness001.com
Bi.Rahmer ❤ 😃 🇰🇪🇹🇿 :
Kitu kizuri naweza sema ni bora unajua nafasi yako,heshima ipo na basic needs unapata basi haina haja ya kumfuatilia mwanamume....bora afanye usione
2026-07-21 12:28:31
2
husseinally340
levina💋💋 :
daa zuu hataki kushea😅
2026-07-21 18:39:59
1
To see more videos from user @undernews_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About