@king.mulla.tz_: ila binadamu 😂

IDISA.....🇹🇿
IDISA.....🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 20 July 2026 19:48:33 GMT
88418
8797
151
143

Music

Download

Comments

mashoto62gmail.c
mashoto62 MC :
sikuping mwanang chachal jitaidi
2026-07-22 10:47:19
15
official_aronboy
official-Aron boy :
Sasa kwamnaojuwa mziki salama anakosa gani hpo nikweli alikuwa na vocal mbaya na mkumbike studio nizaid ya uhalisia wangekuwa wanasema tupeke ngoma mbona hao wanaoshida wangekuwa wa hovyo2 maan wengi wanashinda lkn studio hamna k2
2026-08-21 15:31:12
6
user376395024574
Bae Sameerah💘 :
safiii ni kuwakomesha hao bss na ndo maana sitaki kwenda huko na sio kwamba sijuw kuimba
2026-08-19 21:07:17
2
christianfedrick45
christianfedrick :
kama umemku bari tujuane hapa❤❤❤❤
2026-08-27 14:56:48
5
side.madola
side madola 🇹🇿 :
uyu binkubwa kumakweli😎
2026-08-22 13:06:03
1
degwa_offsa45
@degwa✨️💥💦💫 :
sio kukatisha ila ndo ilimtia juhudi ya kupambana kama harmonize
2026-08-13 19:48:50
3
user1333542770081
dog mbuluku :
namjuwa uyo alimkataa mshkaji wangu zungu boy
2026-09-03 07:10:59
2
user586163524925
ZEDACHA :
kwani ngom inaitwaje wakuu
2026-08-22 09:17:57
1
tito.mumtumishi
YuzO :
walikuwaga sijui wachawi wa ndoto zA watu
2026-07-21 18:07:07
5
ngezaboy2
HUSSEIN :
unjua kk
2026-07-22 09:34:37
1
calvinpapaa.sija
papaa Calvin Sijaona :
kwer kaka
2026-07-21 16:22:16
2
user8108694283186
melissa mamy :
ndoinabidi kujifunza bongo star search so sehemu yakusema unaenda kusaidiwa kipaji chako
2026-08-23 11:48:50
1
yusco74
Yusco :
Sio lazma kupita njia ndefu baadhi ya muda katika maisha inabidi kupita njia ya mkato ili utoboe na baadhi ya muda kupita njia ya mkato ni mbaya🫡
2026-08-24 17:01:33
3
ramadhan.deco
Ramadhan Deco :
shida ipo kwenye kuimba live...ko salama alikuwa sahihi
2026-08-18 20:25:12
1
hbbrighton97
HB-Bright On97 :
Kwan huyo mdada anajikutaga nani
2026-07-30 21:14:06
1
duchumjeuri123
Duchu mjeuri :
kweli kabisa kaka kunawatu ukiwasikiriza bas wanakuvunja moyo wa kuenderea kupamban noma san
2026-08-20 19:43:05
1
zoppaaaaaaa
Denisi masaka :
daah kwel wanangu hoo jamaa wameumbwa Kam vipengele kwenye mahisha ya watu Ngoma Kali San mkuuuuu fire
2026-08-03 06:10:54
2
.mpaji
Masopa jr @ :
kwani uo ni wimbo wanan
2026-07-22 18:17:16
1
jielly02
💞Jey beauty🦋 :
ndoman sipend kwenda bss
2026-07-21 19:39:09
10
beatrice76645
Beatrice :
nd hv an
2026-07-22 10:35:39
1
chachacosmas879
mess :
ina uma
2026-07-21 12:03:22
1
user4203742047108
Besti🤟🤟 :
kaimba nani hiii nyimbo mbn kali sanaa
2026-07-22 07:58:01
1
crezz_79
Crezz_🔥🔥🔥 :
Songs mzur san
2026-07-21 16:15:09
1
stadymc
Stady mc :
kama msanii unajielewa ukiambiwa ujui inabiti uwongez bidii ili kuwashangaza
2026-07-24 04:04:47
1
user5130519679211
myao OG :
kali sana iyo 🤣☺️
2026-07-21 17:14:26
2
To see more videos from user @king.mulla.tz_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About